trisha cute
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 194
- 608
👌🏾👌🏾Unfinished projects
Dah zipo nyingi nashindwa hata niseme ipi, ngoja nikumbuke kwanza half nirudi tena.Happy new year guys nashukuru Mungu nimeona 2021 kwa neema na nimeingia 2021 kwa kuanza na Mungu nimepokea mwaka mpya nikiwa kanisan naposali "Reality of christ ministry sinza mori"
But well sisi kama binadam tunakua na mipango, malengo na tabia ambazo hatupendi kuexperience kwa mwaka mwingine binafsi mwaka 2020 kuna tabia nilikua sifurahishwi nazo kwangu na sitaman kuingia nazo mwaka huu "ikiwemo kutoweka savings" mana hii imenicost kwenye kutofanikisha malengo yangu vile inavotakiwa
SHARE EXPERIENCE YAKO JE WW NI TABIA GANI HAUTAMAN KUWA NAZO KWA MWAKA HUU 2021
Babalevo ni chawa kwa naniTabia ya uchawa Kama babalevo
Nipo hapa mwakilishiChaputa sioni mwanachama wenu hata mmoja anaetaka kuondoka chamani mwaka huu
Kila kitu kinaezekana kama ukiamua mpendwa all the bestNimesema kuanzia leo tarehe 1 mimi na michepuko basi sasa sijui nitaweza ila naamini nitaweza
Pole sana hope utakua makini sasa mkuuNot paying attention to details, it has costed me so much so far.
Mhhh[emoji849][emoji16]Kutuma na ya kutolea.