trisha cute
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 194
- 608
Happy new year guys nashukuru Mungu nimeona 2021 kwa neema na nimeingia 2021 kwa kuanza na Mungu nimepokea mwaka mpya nikiwa kanisan naposali "Reality of christ ministry Sinza Mori"
But well sisi kama binadam tunakuwa na mipango, malengo na tabia ambazo hatupendi kuexperience kwa mwaka mwingine binafsi mwaka 2020 kuna tabia nilikua sifurahishwi nazo kwangu na sitamani kuingia nazo mwaka huu "ikiwemo kutoweka savings" maana hii imenicost kwenye kutofanikisha malengo yangu vile inavyotakiwa.
SHARE EXPERIENCE YAKO, JE WEWE NI TABIA GANI HAUTAMAN KUWA NAZO KWA MWAKA HUU 2021?