Its good kama utaweza mana utakua umejiepusha na dhambi ya uzinzi lakin pia hapo kwenye SAVINGS ndio kitu kilichonisumbua mwaka jana nataman kuacha kwa huu mwaka yan mambo ya kula bata bila kuweka akiba sitaki niwe nayo 2021 ikiezekana nataka niweke hela FIXED ACCOUNT Mana kuna namna nikiwa na hela kasauti kana kuja kananiambia kale biliani kwa buheti, nenda tanzanite park kaogelee, nenda seaclif kale dinner yani hiki kisauti kinachokujaga masikioni mwangu kwa mwaka huu sikitaki tena [emoji51]Mwaka hu ntasev sana pesa
Sitaki kuingia atm kuzitoa hata kidogo kwa 2years
Then kwenye yake maswala nmeshasema hu mwaka silal na mwanamke yeyote
[emoji23][emoji28][emoji28] hulali na mwanamke[emoji23][emoji23][emoji28], utaweza?Mwaka hu ntasev sana pesa
Sitaki kuingia atm kuzitoa hata kidogo kwa 2years
Then kwenye yake maswala nmeshasema hu mwaka silal na mwanamke yeyote
Hiyo sauti ni ya mzee mzima, baba wa dunia [emoji48] hataki mtu achomoke[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Its good kama utaweza mana utakua umejiepusha na dhambi ya uzinzi lakin pia hapo kwenye SAVINGS ndio kitu kilichonisumbua mwaka jana nataman kuacha kwa huu mwaka yan mambo ya kula bata bila kuweka akiba sitaki niwe nayo 2021 ikiezekana nataka niweke hela FIXED ACCOUNT Mana kuna namna nikiwa na hela kasauti kana kuja kananiambia kale biliani kwa buheti, nenda tanzanite park kaogelee, nenda seaclif kale dinner yani hiki kisauti kinachokujaga masikioni mwangu kwa mwaka huu sikitaki tena [emoji51]
Not paying attention to details, it has costed me so much so far.
[emoji23][emoji28][emoji28] hulali na mwanamke[emoji23][emoji23][emoji28], utaweza?
Its good kama utaweza mana utakua umejiepusha na dhambi ya uzinzi lakin pia hapo kwenye SAVINGS ndio kitu kilichonisumbua mwaka jana nataman kuacha kwa huu mwaka yan mambo ya kula bata bila kuweka akiba sitaki niwe nayo 2021 ikiezekana nataka niweke hela FIXED ACCOUNT Mana kuna namna nikiwa na hela kasauti kana kuja kananiambia kale biliani kwa buheti, nenda tanzanite park kaogelee, nenda seaclif kale dinner yani hiki kisauti kinachokujaga masikioni mwangu kwa mwaka huu sikitaki tena [emoji51]
Hiyo sauti ni ya mzee mzima, baba wa dunia [emoji48] hataki mtu achomoke[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Utashangaa uko batani tu kama kawa
Uzinzi Mungu anisaidie japo, nimeshaharibu 1 janHappy new year guys nashukuru Mungu nimeona 2021 kwa neema na nimeingia 2021 kwa kuanza na Mungu nimepokea mwaka mpya nikiwa kanisan naposali "Reality of christ ministry sinza mori"
But well sisi kama binadam tunakua na mipango, malengo na tabia ambazo hatupendi kuexperience kwa mwaka mwingine binafsi mwaka 2020 kuna tabia nilikua sifurahishwi nazo kwangu na sitaman kuingia nazo mwaka huu "ikiwemo kutoweka savings" mana hii imenicost kwenye kutofanikisha malengo yangu vile inavotakiwa
SHARE EXPERIENCE YAKO JE WW NI TABIA GANI HAUTAMAN KUWA NAZO KWA MWAKA HUU 2021
Kasauti ka shetani[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo sauti ni ya mzee mzima, baba wa dunia [emoji48] hataki mtu achomoke[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Utashangaa uko batani tu kama kawa
Mwaga mboga!Roho i radhi ila mwili ni dhaifu
Mhhh acha tu jmnMwaga mboga!
Kwani shng ngapi bwana!Mhhh acha tu jmn
Ukubwa dawa..
Bas anza wewee😅Kwani shng ngapi bwana!