Ni tabia gani unatamani usiwe nazo 202?

Ni tabia gani unatamani usiwe nazo 202?

2020 nimejifunza kuwa tomorrow means never,
Hvyo bac ile tabia ya I will do it tomorrow naiacha 2021
 
Mwaka hu ntasev sana pesa
Sitaki kuingia atm kuzitoa hata kidogo kwa 2years

Then kwenye yake maswala nmeshasema hu mwaka silal na mwanamke yeyote
Its good kama utaweza mana utakua umejiepusha na dhambi ya uzinzi lakin pia hapo kwenye SAVINGS ndio kitu kilichonisumbua mwaka jana nataman kuacha kwa huu mwaka yan mambo ya kula bata bila kuweka akiba sitaki niwe nayo 2021 ikiezekana nataka niweke hela FIXED ACCOUNT Mana kuna namna nikiwa na hela kasauti kana kuja kananiambia kale biliani kwa buheti, nenda tanzanite park kaogelee, nenda seaclif kale dinner yani hiki kisauti kinachokujaga masikioni mwangu kwa mwaka huu sikitaki tena [emoji51]
 
Hiyo sauti ni ya mzee mzima, baba wa dunia [emoji48] hataki mtu achomoke[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]

Utashangaa uko batani tu kama kawa
 
Pole mkuu
Kwa baadhi ya watu huo ni kama ulemavu wanatamani kubadilika lakini hawawezi..... Na wanavyodhani wamebadilika ndio wanavyozidi kuharibu. Kuepuka hasara wewe tafuta plan B
Not paying attention to details, it has costed me so much so far.
 
Its good kama utaweza mana utakua umejiepusha na dhambi ya uzinzi lakin pia hapo kwenye SAVINGS ndio kitu kilichonisumbua mwaka jana nataman kuacha kwa huu mwaka yan mambo ya kula bata bila kuweka akiba sitaki niwe nayo 2021 ikiezekana nataka niweke hela FIXED ACCOUNT Mana kuna namna nikiwa na hela kasauti kana kuja kananiambia kale biliani kwa buheti, nenda tanzanite park kaogelee, nenda seaclif kale dinner yani hiki kisauti kinachokujaga masikioni mwangu kwa mwaka huu sikitaki tena [emoji51]

Mkuu ukiona hivyo ujue huna majukumu sana
Im first born naona waz baada ya muda ntatakiwa kufanya mambo kwaa madogo hawa
Sasa ngoja ni fight kujiweka kimtindo ili wao wanapokua wanauhitaji nijitahidi kutimiza
Ikiwa na mim nimeshasogea kidogo
 
Sitaki kuwa na wale wadada ati utasikia bby nikwambie kitu, nitumie na ya kutolea
 
Happy new year guys nashukuru Mungu nimeona 2021 kwa neema na nimeingia 2021 kwa kuanza na Mungu nimepokea mwaka mpya nikiwa kanisan naposali "Reality of christ ministry sinza mori"
But well sisi kama binadam tunakua na mipango, malengo na tabia ambazo hatupendi kuexperience kwa mwaka mwingine binafsi mwaka 2020 kuna tabia nilikua sifurahishwi nazo kwangu na sitaman kuingia nazo mwaka huu "ikiwemo kutoweka savings" mana hii imenicost kwenye kutofanikisha malengo yangu vile inavotakiwa

SHARE EXPERIENCE YAKO JE WW NI TABIA GANI HAUTAMAN KUWA NAZO KWA MWAKA HUU 2021
Uzinzi Mungu anisaidie japo, nimeshaharibu 1 jan
 
Back
Top Bottom