• WAGIRIKI / WAYUNANI
√ Elimu hasa ya darasani kwa dunia hii na Mifumo yake tangu utotoni mpaka Uzeeni (Elementary Education) kuhusu Saikolojia ya Binadamu, Falsafa ya ndani kabisa, na Matibabu
• WAISRAEL
√ Kilimo, Ubunifu na Ugunduzi wa Viwanda mbalimbali vikubwa duniani kote pamoja na silaha za kivita
• WALATINI YAANI WARUMI na nchi zake hasa ITALY, SPAIN & FRANCE
√ Uendelezaji na Uekezaji wa Elimu ya Wagiriki wa kale (Ancient Greeks) pamoja na Mapinduzi ya Uhandisi wa Majengo, hasa Makanisa, Shule, Barabara, Madaraja na Nyumba Imara na bora za kuishi
• WAMISRI WA KALE /ANCIENT EGYPTIANS
√ Uhandisi wa makaburi ya mapiramidi ya kudumu, Matibabu na Utawala
• WACHINA WA KALE / ANCIENT CHINESE
√ Matibabu na Madawa
• WAINGEREZA YAANI GREAT BRITAIN (GB) & OTHER GERMANIC NATIONS KAMA GERMANY YENYEWE
√ Kwa Modern world Baadae around karne ya 16 mpaka leo hii hawa wali take Over, wakaasisi Mapinduzi ya Viwanda vikubwa sana na Ugunduzi wa Umeme. Viwanda vya Magari, Meli, Treni, Vifaa vya Umeme, Drillers, Millers na Uongozi bora pamoja na Sheria hasa ile Magna Carta
• USA, JAPAN, KOREA, RUSSIA & TURKEY
√ Waliendeleza zaidi walichoanzisha Waisrael, Waingereza na Wajerumani ila USA na RUSSIA wakaenda zaidi kugundua usafiri wa Anga (Aircrafts), Internet na Silaha kali za kivita
• ISRAEL, HOLLAND
√ Kilimo cha kisasa na Ufugaji
Ahsante kubwa zaidi kwa Waingereza na Wamarekani kwani Sayansi, Elimu, Utawala, Sheria na teknolojia yao ndio tunayoiishi hata sasa, ambapo China na India nazo zinasambaza.
.........XXX.........XXX.........XXX.........XXX......