Ni taifa gani kati ya haya ambalo limekuwa na mchango mkubwa zaidi Duniani katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa muda wote na kwanini?

Hivi unajua USA ni Taifa jipya sana kulinganisha na wenzie?

Jipya kwamba Lina miaka chini ya 300 lakini karibu kila kitu wamechukua kutoka ulaya hasa Uingereza. Kwahiyo ni kama extension ya Uingereza. Ukiiangalia hivyo maana hiyo sio jipya kivile systems nyingi zao ni kama za uingereza/ Europe.

Na wale waanzilishi walikuwa influenced, they studied and we're big admires of ancient Egypt.
 
Hivi unajua USA ni Taifa jipya sana kulinganisha na wenzie?
USA dollar bill has pyramids, The all seeing eyes and the eagle. Hivi vyote na vingine vingi wamecopy from Egyptian symbols and culture.

 

Mwingereza mpaka Leo
 
Britain maan wao ndio waliofanya mapinduzi makubwa ya viwanda kwa mara ya kwanza 1700s.

Since then dunia imebadilika kwa speed ya radii..
 
Hakuna kama Germany, vita ya kwanza na ya pili za dunia ndizo zilizowatoa kwenye reli.
Schlodinger, laplase, Eisteen nk
 
Britain maan wao ndio waliofanya mapinduzi makubwa ya viwanda kwa mara ya kwanza 1700s.

Since then dunia imebadilika kwa speed ya radii..
Mapinduzi yameanza na UGERMAN sio Britain. Soma historia vzr mkuu
 
Swali lako naona limejikita kuhusu miaka kama 500 -600 iliyopita siyo kwenye historia yote ya dunia ukiangalia mifano uliyoitoa hapo juu.
 
Mwingereza asipofanya hivyo anakufa njaa kwsbb ana eneo Dogo sana na hana Mali ghafi ya kutosha lazima ategemee makoloni yake
Ni mvivu na mchoyo pamoja na ubwana umemzidi, kwani Mjapani mbona hana fujo na mtu
 
America iz the father of all nations
 
Uzi nondo kama za Fabian Ngajilo
 
Ina manufaa gani ukilinganisha na madhara yake mambo yakienda kombo!?
Teknolojia yoyote ikiwa umeamua kuitumia vibaya madhara yatapatikana. Chukua mfano wa kisu tu ukiamua kukitumia vizuri kitakusaidia katika shughuli zako lakini ukikitumia vibaya kitaleta madhara.
 
Teknolojia yoyote ikiwa umeamua kuitumia vibaya madhara yatapatikana. Chukua mfano wa kisu tu ukiamua kukitumia vizuri kitakusaidia katika shughuli zako lakini ukikitumia vibaya kitaleta madhara.
Achana na mifano ya kiwaki,pembua madhara Kama ya kinu Cha umeme Japan, Chernobyl nk
 
Sijaelewa mantiki ya swali lako,

Inavyoonesha jibu unalo na linafahamika,

Kumbuka nchi nyingi Zina michango hapa duniani,ila tofauti ni idadi ya michango,

Ukifanya utafiti ukawakusanya watoto wote wa darasa Fulani wa shule za misingi mfano wote wioshika nafasi ya kwanza katika mwaka Fulani ukawapa mtihani ni lazima atapatikana wa kwanza na WA mwisho.
Lkn haimaanishi wa mwisho ni kilaza.
Hivyo katika orodha ya hizo nchi ulizozitaja yupo atakaeonekana ana mchango mkubwa na mwingine mchango mdogo.

Kumbuka watu wote hatufansni mahitani.

Hatufanani changamoto.

Na hizi ndo chanzo Cha maendeleo.

Sasa najibu,Uingereza Ina mchango mkubwa kuliko wengene uliowataja.
 
Mwingereza mpaka Leo
kama kwa kugundua ziwa tanganyika sawa, lakini waswahili walishaligundua siku nyingi kabla yao...
I appreciate German the fathers of Mathematics and Physics Duniani, lakini hakuna sayari waliyowahi fika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…