Ni taifa gani kati ya haya ambalo limekuwa na mchango mkubwa zaidi Duniani katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa muda wote na kwanini?

Huu uzi ni wa muda mrefu kidogo. Nimekuwa 'bize' sana kiasi kwamba nimeshindwa kufuatilia michango ya members.

Baadhi ya wachangiaji wamejibu vyema kwa kutaja nchi kama ambavyo swali liliuliza pamoja na sababu za msingi za kuitaja nchi husika. Hongereni na asanteni!

Ila, wapo wengine waliotaja nchi tu bila kutaja sababu mahususi. Kama ni mtihani, hapo tayari kuna maksi nyingi zimepotea kutokana na kushindwa kujibu swali vyema.

Hata hivyo, nanyi asanteni pia!
 
BRITAIN, maendeleo makubwa tunayoyaona leo yamekuja baada ya mapinduzi makubwa ya kiviwanda kutokea uingereza. ingawa kwa leo nchi inayoongoza katikamaendeleo ya sayansi na teknlojia ni USA.
Shukrani kwa mchango wako.
 
Shukrani sana kwa mchango wako. Ingawa, umetaja nchi ama umetoa majibu mengine ambayo hayako ndani ya mipaka (scope) ya swali.

Asante!
 
Mbona Misri, Ethiopia, Sudan na Zimbabwe hutaji ukiachia mbali Mali kulikokuwa chuo kikuu maarufu kwenye mji wa Timbuktu?
Huu uzi ni wa muda mrefu kidogo kama ambavyo nimesema.

Swali liliulizwa hivyo kwa wakati huo kama ambavyo linaonekana. Lakini, haimaanishi kuwa hizo nchi nilizozitaja ndizo nchi pekee duniani zenye mchango wowote ule katika mandeleo ya sayansi na teknolojia. Pia, nilisema kuhusu hilo kabla hata ya kuuliza swali kuu.
 
Umetaja nchi tu bila ya kutoa sababu zozote zile za kuitaja nchi husika.

Pia, jaribu kutumia muda mwingi zaidi kujikita katika kujibu swali ama hoja, tumia muda mchache sana katika kuzungumza masuala mengine tofauti na kile kilichoulizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…