Ni taifa la kutekana tu. Wafuasi wa CHADEMA walitekwa na mpaka sasa wapo Magerezani

Wewe jamaa ninachokukubali enzi hizo ulikuwa sisiem lakini maujinga ya utekaji yalivyoshika hatamu tu ukatemana nao na kukaa upande wa haki. Si kama akina tlaatlaah na akina lucas walioibukia katikati ya harufu za damu za watu, hao ni watoto wa ibilisi hawawezi kubadilika.

Safi sana.
 
Samia ni shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…