Mzeeya naingia hapo ndani ya masaa mawili nipo gairo hapa ndani ya shabby line...naona umepika mokasini ya brown.Bwanaaa weeee nipo mawindoni Jobless mwenzangu.. Leo bi mkubwa kanituma nikajiongeza, mtoto haibi anachukuaView attachment 2363670
Haya ndio maneno. Hapa ni mwendo wakuzalisha single moms tuuKataa Ndoa
Kula Mbususu
Hahahaha, hatari sana, kazi kweli kwelimbususu sikuhizi kazi kweli kuzipata, tunapata mambo ya ajabu ajabu
Umezungumza kitu ambacho siyo rahisi kueleweka kwa wengi . Maana wamepigwa risasi ya haki za BinadamuTupende tusipende, tutake tusitake, tukubali tukatae, tuelewe tusielewe;
"JANDO & UNYAGO" zilikuwa ni mila zenye impact kubwa kwenye kudumisha ndoa na kuimarisha domestic wellfare ya waafrika.
Mazuri yalikuwa yanazidi mabaya, kilichotakiwa ni kutoa yale mabaya na kubakisha mazuri..
Zamani mwanamke hata awe msomi vipi kamwe hawakubweteka na elimu zao kisha wakaacha attitude mke anayopaswa kuwa nayo.
Ila kwa sababu tumekubali kutawaliwa kielimu, kijamii, kiuchumi basi acha tule jeuri yetu.
Hili bomu ni Dunia nzima sema Africa ndiyo limetufikia wakati huuInawezekana pia wanaume wa Kitanzania wamekuwa na hulka ya kunyanyasa na ku dominate wanawake wasio na fursa, kutokana na kwamba sasa wanasoma na fursa, hizo fursa zinakuwa ni ngumu!
🤠🤠🤠🤠 Si unajua tena mambo ya msosi wa burebure leo lazima niile kitu ya kiruguru hapaMzeeya naingia hapo ndani ya masaa mawili nipo gairo hapa ndani ya shabby line...naona umepika mokasini ya brown.
Alafu hapo mzeya mie sijakanyaga...chumba bei gani?🤠🤠🤠🤠 Si unajua tena mambo ya msosi wa burebure leo lazima niile kitu ya kiruguru hapa
Hiyo ni official record ...siyo uhaisia kwa ujumlaNdoa 500 per year mbona chache sana? Anyway me ninajua idadi itakuwa zaid ya hiyo maana ushahidi tunauona mitaani.
Acha watu wapeane talaka kama wamechoka kuishi pamoja Kuliko kufikia maamuz ya kutoana uhai ama kufanyiana VISA ni bora watengane tu, na hiyo ndyo best way ya kuepuka migogoro na vifo vya kujitakia.
Kwa akili za wanawake kwa kizaz hiki, ni wachache sana wanaostahili kuwa ktk ndoa, maana wengi wao bado wanaendeshwa na utandawazi+ 50/50 haki sawa[emoji23][emoji23]
Dunian hakuna na haiwezekan kuwepo kwa usawa katika ndoa kati ya mme na mke, always mwanaume ni King&head of family or dictator na mwanamke ni mfuasi wa Order za mwanaume/mfalme.
Sasa hawa wanawake wanapoforce kutumia sheria zao za kudai haki sawa na kukosa heshima kwa mwanaume unadhani kuna kudumu kwa mahusiano hapo? Acha waendelee kupeana talaka sisi watoaji wa michango tulishamaliza kazi zetu pale siku ya sherehe kula kuku na kucheza kwaito/amapiano ukumbini[emoji23][emoji23]
Kwenye msosi jamaa wazushi, jata maji wakuda bei juu.. Vyumba wamepandisha bei, standar 80- single, deluxe 100-single ikiwa double una add 20k. Kuna kati 160, na exe 360k.. Ni wewe tuu.. Ila sio ulipoe 160 ule mbususu inayotoa harufu 🤠🤠Alafu hapo mzeya mie sijakanyaga...chumba bei gani?
Nasikia soda eti buku 3
Sawa nini, kwamba mwanamke bila kuolewa hana thamani?Ni sawa kabisa wala si utani
Mwanamke bila mume ni sawa na mwanaume mwenye dhakar ila hatungishi mimba. Utajifariji kuwa mbegu zinauzwa maabara ila haibadilishi ukweli kuwa utakuwa useless and feeling down sababu hata huwezi fiti kwenye utawa na uparoko.Sawa nini, kwamba mwanamke bila kuolewa hana thamani?
Hii mifano miwili haifanani, halafu pia huo mfano hauko sahihi.Mwanamke bila mume ni sawa na mwanaume mwenye dhakar ila hatungishi mimba. Utajifariji kuwa mbegu zinauzwa maabara ila haibadilishi ukweli kuwa utakuwa useless and feeling down sababu hata huwezi fiti kwenye utawa na uparoko.
Iko sawia kabisa sababu mwanamke yuko fully functional na mwanaume pia ila hazalishi. Mwanamke kukaa kivyake bila mume maana yake hataki kuzaa sasa anatofauti gani na mwanaume asiyetungisha mimba?Hii mifano miwili haifanani, halafu pia huo mfano hauko sahihi.
Kuna tofauti kati ya kusimamisha uume na kutungisha mimba, Wapo wengi wanasimamisha na mapenzi wanafanya japo hawana uwezo wa kutungisha mimba. Wasiokubaliwa kwenye utawa, ni wasio simamisha, sio kutungisha mimba.
Kutokusimamisha au kutotungisha mimba ni ugonjwa, kwa hiyo hapa, umelinganisha mwanamke mwenye afya kamili na mwanaume mgonjwa, haviendani.
Lakini hata hivyo, kutotungisha mimba haimaanishi kwamba mtu hana thamani, unless otherwise uniambie kuwa wewe ngozi nyeusi hapa duniani upo kwa ajili ya kazi moja tu, kutungisha mimba!
Hanisi, (hanithi) ni asiyedindisha au asiyetungisha mimba?Iko sawia kabisa sababu mwanamke yuko fully functional na mwanaume pia ila hazalishi. Mwanamke kukaa kivyake bila mume maana yake hataki kuzaa sasa anatofauti gani na mwanaume asiyetungisha mimba?
To make it clear, paroko hatakiwi kuwa hanisi. Hata kama anadindisha, kujitoa kiroho maana yake ni ku cancel uzazi ila kigezo cha kwanza lazma awe fully functional! Awe amejikatalia nafsi kuzaa kwa ajili ya huduma ya kanisa.
Hakuna equal partnership kwenye ndoa kama mwingine analipa milioni na zaidi kwa wazazi wa mwingine.Wanawake uliyowataja hawana tatizo lolote. Tatizo ni tabia za mfumo dume tuliyonao na kwa wanawake wasomi wenye ajira na kipato kizuri hawaoni faida ya kukaa kwenye mahusiano yanyoendeshwa na mfumo dume. Hata hao ambao si wasomi au wenye kipato kidogo kuna wengine wako kwenye ndoa kwa sababu ya "economic insecurity". Kama si hiyo wangekuwa wameomndoka kwenye hayo mahusiano. Kwa kifupi mchawi si kisomo au kipato bali tabia za mfumo dume za wanaume.
Ndoa ni ya equal partners ikiendeshwa na mila, dini, na mapenzi. mapenzi yakiishaisha na kuanza ubabe, kwa nini mtu awe king'ang'anizi. Kuna wanawake wengi wanaishi katika mateso. Hao wasomi wanajuwa haki zao na pia hawaogopi kutoka kwa mwanaume kwa sababu wana uwezo wa kujitegemea.
Ana akili za kujitosha yeye mwenyewe.Haishi kitawa maana mnayoyapata kwenye ndoa anayapata huko kitaa bila tatizo. Hana stress kama wengi wetu humu