Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

USIWALAUMU WANAWAKE NA UKIWALAUMU BASI UNAWALAUMU BURE TU .
# Dunia inatawaliwa na nguvu isiyoonekana machoni pa watu lkn ina matokeo makubwa kwenye maisha ya mwanadamu . Wanawake wenyewe hata hawaijui hiyo nguvu , wanatumiwa tu kama siraha ya kubadili mambo Duniani .

£-- Maraisi wote Duniani wanàwajibika chini ya nguvu hiyo kwa viwango tofauti tofauti na kwa kujijua au pasipo kujijua .

£--- Wakuu wa Dini wote Duniani wanawajibika chini ya nguvu hiyo kwa viwango tofauti tena kwa kujijua au pasipo kujijua .

Hivyo mzigo uliowatwika Wanawake hata wao wenyewe hawawezi kuutua wala hawajui kuwa kuna mzigo wametwikwa na hiyo nguvu . Kuyumba , mitikisiko na maanguko ya ndoa nyingi na mahusiano kwa ujumla , Si jambo la Bahati Mbaya tu . HAPANA , KUNA NGUVU ILIYOSABABISHI

# Hata mfumo Dume uliokuwepo karne zote ni matokeo ya hiyo nguvu . Na sasa wakuu wa Dunia wanataka kuipeleka Dunia mahali pa mfumo Jike .

JAMBO HILI HATA WANAUME WALIPAMBANIE VIPI NI KAZI BURE . WA KUNIELEWA NI WACHACHE HATA HIVYO SIYO AJABU MAÀNA BINADAMU HATUNA VIWANGO SAWA VYA AKILI NA MAARIFA PLUS UFAHAMU.
 
Tupende tusipende, tutake tusitake, tukubali tukatae, tuelewe tusielewe;

"JANDO & UNYAGO" zilikuwa ni mila zenye impact kubwa kwenye kudumisha ndoa na kuimarisha domestic wellfare ya waafrika.

Mazuri yalikuwa yanazidi mabaya, kilichotakiwa ni kutoa yale mabaya na kubakisha mazuri..

Zamani mwanamke hata awe msomi vipi kamwe hawakubweteka na elimu zao kisha wakaacha attitude mke anayopaswa kuwa nayo.

Ila kwa sababu tumekubali kutawaliwa kielimu, kijamii, kiuchumi basi acha tule jeuri yetu.
Umezungumza kitu ambacho siyo rahisi kueleweka kwa wengi . Maana wamepigwa risasi ya haki za Binadamu
 
Inawezekana pia wanaume wa Kitanzania wamekuwa na hulka ya kunyanyasa na ku dominate wanawake wasio na fursa, kutokana na kwamba sasa wanasoma na fursa, hizo fursa zinakuwa ni ngumu!
Hili bomu ni Dunia nzima sema Africa ndiyo limetufikia wakati huu
 
Ndoa 500 per year mbona chache sana? Anyway me ninajua idadi itakuwa zaid ya hiyo maana ushahidi tunauona mitaani.

Acha watu wapeane talaka kama wamechoka kuishi pamoja Kuliko kufikia maamuz ya kutoana uhai ama kufanyiana VISA ni bora watengane tu, na hiyo ndyo best way ya kuepuka migogoro na vifo vya kujitakia.

Kwa akili za wanawake kwa kizaz hiki, ni wachache sana wanaostahili kuwa ktk ndoa, maana wengi wao bado wanaendeshwa na utandawazi+ 50/50 haki sawa[emoji23][emoji23]

Dunian hakuna na haiwezekan kuwepo kwa usawa katika ndoa kati ya mme na mke, always mwanaume ni King&head of family or dictator na mwanamke ni mfuasi wa Order za mwanaume/mfalme.

Sasa hawa wanawake wanapoforce kutumia sheria zao za kudai haki sawa na kukosa heshima kwa mwanaume unadhani kuna kudumu kwa mahusiano hapo? Acha waendelee kupeana talaka sisi watoaji wa michango tulishamaliza kazi zetu pale siku ya sherehe kula kuku na kucheza kwaito/amapiano ukumbini[emoji23][emoji23]
Hiyo ni official record ...siyo uhaisia kwa ujumla
 
Alafu hapo mzeya mie sijakanyaga...chumba bei gani?
Nasikia soda eti buku 3
Kwenye msosi jamaa wazushi, jata maji wakuda bei juu.. Vyumba wamepandisha bei, standar 80- single, deluxe 100-single ikiwa double una add 20k. Kuna kati 160, na exe 360k.. Ni wewe tuu.. Ila sio ulipoe 160 ule mbususu inayotoa harufu 🤠🤠
 
Na hapo itakuwa 90 % ni wakristo maana waislamu talaka ni dakika 0 tu
 
Sawa nini, kwamba mwanamke bila kuolewa hana thamani?
Mwanamke bila mume ni sawa na mwanaume mwenye dhakar ila hatungishi mimba. Utajifariji kuwa mbegu zinauzwa maabara ila haibadilishi ukweli kuwa utakuwa useless and feeling down sababu hata huwezi fiti kwenye utawa na uparoko.
 
Hii mifano miwili haifanani, halafu pia huo mfano hauko sahihi.

Kuna tofauti kati ya kusimamisha uume na kutungisha mimba, Wapo wengi wanasimamisha na mapenzi wanafanya japo hawana uwezo wa kutungisha mimba. Wasiokubaliwa kwenye utawa, ni wasio simamisha, sio kutungisha mimba.

Kutokusimamisha au kutotungisha mimba ni ugonjwa, kwa hiyo hapa, umelinganisha mwanamke mwenye afya kamili na mwanaume mgonjwa, haviendani.

Lakini hata hivyo, kutotungisha mimba haimaanishi kwamba mtu hana thamani, unless otherwise uniambie kuwa wewe ngozi nyeusi hapa duniani upo kwa ajili ya kazi moja tu, kutungisha mimba!
 
Iko sawia kabisa sababu mwanamke yuko fully functional na mwanaume pia ila hazalishi. Mwanamke kukaa kivyake bila mume maana yake hataki kuzaa sasa anatofauti gani na mwanaume asiyetungisha mimba?

To make it clear, paroko hatakiwi kuwa hanisi. Hata kama anadindisha, kujitoa kiroho maana yake ni ku cancel uzazi ila kigezo cha kwanza lazma awe fully functional! Awe amejikatalia nafsi kuzaa kwa ajili ya huduma ya kanisa.
 
Na zitazidi. Watu hawana muda wa kuvumilia! Zama zimebadilika.
 
Iko sawia kabisa sababu mwanamke yuko fully functional na mwanaume pia ila hazalishi. Mwanamke kukaa kivyake bila mume maana yake hataki kuzaa sasa anatofauti gani na mwanaume asiyetungisha mimba?

To make it clear, paroko hatakiwi kuwa hanisi. Hata kama anadindisha, kujitoa kiroho maana yake ni ku cancel uzazi ila kigezo cha kwanza lazma awe fully functional! Awe amejikatalia nafsi kuzaa kwa ajili ya huduma ya kanisa.
Hanisi, (hanithi) ni asiyedindisha au asiyetungisha mimba?

Vyovyote vile itakavyokuwa, kuwa hanithi au kutotungisha mimba au kutozaa hakumfanyi mtu asiwe na thamani, unless kama nilivyosema, maana ya kuishi duniani kwako ni kufanya mapenzi, kutungisha mimba na kuzaa!

Na ukisema ndio, maana yake masista wote, mashirika yote ya wakatoliki sijui white fatjers, wabenedictine, Jesuits, knights of templar and of malta, mapadri wote, maaskofu katoliki pamoja na baraza lao lote la maaskofu la Tanzania Episcopal Conference TEC, makadinari wote akiwemo kardinari Pengo, pamoja na Papa Francis na watangulizi wake, ni watu wasiokuwa na thamani hapa duniani..

Maana wote tajwa hapo juu, pamoja na watu wengine wa kada mablimbali walioamua kwa hiari yao, hawatakiwi kufanya mapenzi wala kuzaa, kwa mujibu wako, thamani ya binadamu duniani ni kudindisha, kufanya mapenzi na kuzaa!

Unasemaje mkuu Extrovert ?
 
Wanawake uliyowataja hawana tatizo lolote. Tatizo ni tabia za mfumo dume tuliyonao na kwa wanawake wasomi wenye ajira na kipato kizuri hawaoni faida ya kukaa kwenye mahusiano yanyoendeshwa na mfumo dume. Hata hao ambao si wasomi au wenye kipato kidogo kuna wengine wako kwenye ndoa kwa sababu ya "economic insecurity". Kama si hiyo wangekuwa wameomndoka kwenye hayo mahusiano. Kwa kifupi mchawi si kisomo au kipato bali tabia za mfumo dume za wanaume.

Ndoa ni ya equal partners ikiendeshwa na mila, dini, na mapenzi. mapenzi yakiishaisha na kuanza ubabe, kwa nini mtu awe king'ang'anizi. Kuna wanawake wengi wanaishi katika mateso. Hao wasomi wanajuwa haki zao na pia hawaogopi kutoka kwa mwanaume kwa sababu wana uwezo wa kujitegemea.
Hakuna equal partnership kwenye ndoa kama mwingine analipa milioni na zaidi kwa wazazi wa mwingine.
Akili hii ndio inawapoteza.
Mwanamke aliyeolewa ni Mali ya familia waliotoa mahari.
Ndio maana akiolewa anaenda kukuta mwanaume kashamuandalia kila kitu.
 
Back
Top Bottom