Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

Umeamua kulichukulia personal. Mambo yasiwe mengi kama ndoa kwako sio muhimu usioe zalisha wanawake utakavyo ili tuendeleze kizazi cha panya road
 
Watoto mliozaliwa nje ya ndoa huwa mnakuwa na akili chafu. Sasa wewe kweli ndio wa kusema NDOA si jambo la lazima, kama sio laana ni nini hizi unaleta hapa. Kwahiyo watoto wazaliwe kwa njia za umalaya, ukahaba, uasherati, ufuska na uzinzi kwa mtazamo wako hiyo ndio njia bora ya kuzaliana?!

Wewe hauna akili sawa sawa.
 
Umeamua kulichukulia personal. Mambo yasiwe mengi kama ndoa kwako sio muhimu usioe zalisha wanawake utakavyo ili tuendeleze kizazi cha panya road
Personal kwa nini? Nilijua utakimbia, mimi nimekuandikia mifano halisi unaniambia personal,

Na una uhakika panya road ni sababu ya kutokuwa na ndoa?
 
Wewe umekaririshwa kwamba ndoa ni jambo la muhimu sana, na ukakaririshwa pia kwamba mtoto aliezaliwa nje ya ndoa hana thamani na ana akili chafu. Unatakiwa zakuambiwa uchanganye na zako, usimeze kila kitu.
 
Umeamua kulichukulia personal. Mambo yasiwe mengi kama ndoa kwako sio muhimu usioe zalisha wanawake utakavyo ili tuendeleze kizazi cha panya road
Wewe inshort mbio zimekuokoa, umetoka nduki🏃‍♂️, mimi napinga kusema kwamba nisipozalisha sina thamani, wewe unaniambia nizalishe nilete panya road!!

Umeishiwa hoja, labda nduguyo Samcezar naona kanivaa, anajaribu kuniletea waliyokaririshwa kwenye dini zao!
 
Naona ubishi utakuwa wa kuku na yai nani wa kwanza.
 
Umemuweka mwanamke msomi kama vile ni expensive extra package kwamba hadi akili ya ziada itumike kuishi naye !!
Natamani ingekuwa rahisi hivo, kwamba ukioa msomi basi mambo nayo yanakaa sawa. Hata mie ningetumia akili ya ziada kuishi na msomi.

Ukweli ni kuwa hao wasomi hawatofautiani sana na la saba mama wa nyumbani!! mizinga daily , ana ndugu watakuelemea, usitegemee pesa yake ya mshahara ,tegemea malezi mabovu ya watoto wenu , na most likely atakudharau pia.
 
Nmekuelewa mkuu, Kuna mahali jamii inapuuza lkn ndio kiini cha uharibifu
 
Sasa hapo kuna tofauti gani na wanyama?
 
Basi itakuwa hujajua tatizo la msingi. Kama unavyosema ndivyo ni kwanini sasa ndoa zenye wanawake wasomi ndio zinavunjika kwa wingi?
Ni muhimu kukubali hata kama hatupendi kuwa kuna tofauti fulani ya ubongo katika ufikiri, upokeaji wa mambo na ufanyaji wa mambo anayoelekezwa.
Huwezi kuwaweka kundi moja wasiosoma na waliosoma
 
Mwandishi wa hiyo habari kaandika basing on one side.

Kila mwanamke virgin (awe na elimu ama asiwe nayo) dreams of a fairytale kind of love, hata michezo yetu ya udogoni na usichanani we’re all about keeping the family and the house. By virgin woman naongelea mwanamke ambaye hajawa emotionally abused pamoja na other abuses.

So The first thing this virgin woman wants akikutana na mwanaume ni Love (the kind of love she has been dreaming and playing throughout her life) that’s why you’ll find these virgin women doing so much and putting their best in their first relationships. Tatizo linakuja when their efforts are not reciprocated. As time goes on with several heartbreaks, her mindset about love is corrupted. At this point she is no longer a virgin, since she is traumatised already.

Now that her dream love failed, her next bait in relationship is benefits. So she enters a relationship even though she’s not loved how she wants, even though she’s maltreated, as long as she benefits from this man, most of them will choose to settle.

Mind you sijagusia suala la elimu bado. I want us to understand what I believe is a general mindset of most women, educated or not educated.

Now the real deal comes when a woman goes into a relationship and neither love nor benefits are served in her plate, na hapo ndipo the role of education comes in.
What education does is just giving the so called educated woman courage to not keep up with the shit. In her head she is like “dude, you don’t love me right, you don’t support or add any value in my life, unanipiga matukio ya kila aina that cost my peace of mind and productivity, matukio that lower my self esteem, and yet you expect me to respect and submit to you, why should I?” She packs herself out and go.! What Education did is just give these women the courage and hope that she can handle whatever responsibilities life will throw at her ( she can get a job , she can establish something for herself- she can monetise her education and be paid and run life at peace) something that the woman who is not educated can’t do- the courage and hope that the uneducated woman doesn’t have. That’s why the uneducated ones keeps living and taking all kinds of shits men throw at them and be seen as wife material whatsoever but the truth of the matter is this same uneducated woman akipata chachu na tumaini kwamba anaweza kuendesha maisha yake, akipata mwangaza, hata naye anaondoka.

So men achaneni na mentality that you can eat your cake and have it ; learn to genuinely love your women , learn to understand them, learn to treat them as queens and princesses they are and you’ll see if these educated women won’t put their guts down and be submissive and respective to you.
As a man , ask yourself this question, if another man treats my daughter the same way I’m treating the woman I’m with, would you let your daughter be with that man? Or better still ask yourself, if places are switched and you (a man) would be a woman and her be a man and she as a man now treats you, who is a woman now, the way you as a man is treating her as woman, ungeendelea kua naye?

My candid opinion and I stand to be corrected.
 
Wewe umekaririshwa kwamba ndoa ni jambo la muhimu sana, na ukakaririshwa pia kwamba mtoto aliezaliwa nje ya ndoa hana thamani na ana akili chafu. Unatakiwa zakuambiwa uchanganye na zako, usimeze kila kitu.
Ama kweli matoto ya laana huwa hayanaga kuelewa. Sasa mimi nakuelekeza hapa ila bado umekazana kunibishia. Wewe wa kunielekeza mimi kuhusu ndoa kweli?!

Tena ukome, hizo fikra zako za kuzimu bakia nazo na laana zako mimi usiniletee shubamati.
 
Ama kweli matoto ya laana huwa hayanaga kuelewa. Sasa mimi nakuelekeza hapa ila bado umekazana kunibishia. Wewe wa kunielekeza mimi kuhusu ndoa kweli?!

Tena ukome, hizo fikra zako za kuzimu bakia nazo na laana zako mimi usiniletee shubamati.
When you start calling people names, people you even dont know, you prove your utter nonsense and extreme ignorance.

As to this juncture it is obvious that you are no match for me and you dont even come half of my general knowledge. Go to the mosque and learn Qaswida, that is the best you can do!

Inawezekana hata huelewi nilichoandika, nasema hivi, uelewa wako ni mdogo na huwezi kujadili na mimi, Nenda msikitini kajifunze Kaswida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…