Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nakumbuka hiyo ripoti ilisema chanzo kikubwa cha hizo ndoa kuvunjika ni WANAUME KUTAKA KUFANYA NA WAKE NGONO KINYUME NA MAUMBILEImeripotiwa karibuni kuwa kwa Dar es Salaam pekee ndo zaidi ya 300 zinavunja kila mwezi 🤔
Ndoa 300 zavunjika Dar kwa mwezi | Mwananchi
www.mwananchi.co.tz