Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

Jamii imewekeza sana kwenye elimu dunia tunasahau kuwafundisha binti zetu na vijana wetu elimu ya kiroho.

Haya ni maneno mafupi sana kutoka kitabu kitakatifu Biblia lakini kwenye ndoa yana maana kubwa;

MATHAYO 19:6 "Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe"

MATHAYO 19:5 "Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa mmoja."

WAEFESO 5:28 "Vivyo hivyo waume wawapende wake zao kama miili yao. Anayempenda mkewe anajipenda mwenyewe."

WAEFESO 5:24 wake pia wanapaswa kuwatii waume zao kwa kila jambo

WAEFESO 5:33 "na mke naye ahakikishe anamheshimu mumewe."

WAEFESO 5:23 Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa

MATHAYO 19:9 "Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”

Kwa mume na mke Wakristo wakiishi kwa kutii hayo maneno watadumu katika ndoa. Haijalishi mke ana elimu nyingi au hapana.

NB: MUNGU SIKUZOTE HAKOSEI
Mzee wa kupambina kumbe mistari unaijua....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zipo nguvu zinazowasukuma watu kuingia kwenye ndoa kuna nguvu za kudumu na nguvu za mda mfupi. Hizi nguvu ndio uamua ndoa idumu kwa mda gani. Baadhi ya nguvu ni kama
1.Tamaa ya ngono hapa nyege zikiisha na ndoa imeisha
2.Tamaa ya mali kama alifata mali na akapata mali hitaji lake limeisha na ndoa imeisha
3.Kupata watoto .hapa me au mke akishapata watoto hana tena time na mwenza wake anachojali tu ni watoto wake.
4.Upendo hapa kama upo wa kweli ndoa haishi
5.Tamaa ya Harusi, wapo wenye ndoto tu za kufunga ndoa na kufanya sherehe basi mengine baada ya sherehe kwake ni mzigo. Hizi ndio zile ndoa za wiki, mwezi, miezi then chali.
6.Kupata mtu wa kumlea yaani akitimiziwa tu majukumu yake hapa mwenza akifilisika tu na ndoa chali
7.Maslai hapa ni tamaa ya mali, maumbile mfano tako, chuchu, six pack, english figure nk so mtu akipata dosari ya kimwili mfano ajali, kunyonyesha badala ya msumari zinakuwa chapati, ndoa imekubali english figa imekuwa 10 figa, tako SAwa na tumbo, six pack kwisha umri umesonga .... Chali.
So wengi awafahamu hasa nini maana ya ndoa. Umasikini ndio driving factor iwasukumao wanawake wengi kuingia kwenye ndoa na si kwamba wanajua nini maana ya ndoa baada ya ndoa umasikini ukiisha heshima na utii nao uisha, heshima na utii uzaa upendo. Hakuna Mwanaume anaweza mpenda mke asiyeheshimu na kumtii labda afeki.
 
"NDIO SASA UTAFAHAMU TALIBAN WANA AKILI AU HAWANA AKILI,KUWAPA WANAWAKE LIMITATION"
(hail hail Taliban of Afghanistan.)
UKUCHUNGUZA SANA PENGINE HAPO NDOA NYINGI NI ZA KIKRISTO,MAANA KWA WENZETU HILI SIYO ISSUE KUBWA,
-Waislam kidini na mafundisho yao I personal Hail,mwanamke anajua huyu ni mume,haoteshi mapembe kama beberu,hats akiwa na cheo gani,Kwa mumewe ni mtulivu,ana heshima na adabu.
 
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?
  • Dar peke yake zinavunjika ndoa 300 kwa mwezi
  • Hao wasomi ni kwasababu ya Beijing conf.
  • Wakiwa masomoni walionja vitamu vingi wakiingia kwenye ndoa wanabanwa
 
Ukiishi na mwanamke bila ndoa heshima na utii vinakuwa tele. Ndo maana wengine wamekatilia kwenye uchumba sugu miaka na miaka wanajua hili, mwanamke akishapata tu cheti na watoto anaanza mapambano ya kuibomoa ndoa.
 
"NDIO SASA UTAFAHAMU TALIBAN WANA AKILI AU HAWANA AKILI,KUWAPA WANAWAKE LIMITATION"
(hail hail Taliban of Afghanistan.)
UKUCHUNGUZA SANA PENGINE HAPO NDOA NYINGI NI ZA KIKRISTO,MAANA KWA WENZETU HILI SIYO ISSUE KUBWA,
-Waislam kidini na mafundisho yao I personal Hail,mwanamke anajua huyu ni mume,haoteshi mapembe kama beberu,hats akiwa na cheo gani,Kwa mumewe ni mtulivu,ana heshima na adabu.
Tena unakuta mwanamke ni kula kulala hadi chupi na vocha bila wewe hawezi lakini ana mapembe marefu kuliko ya tembo.
 
Hao wanawake wasomi Ili mwende nao SAwa dawa yao ni kuishi nao bila ndoa yaani uchumba sugu ndio huwa na heshima. Yaani mguu ndani mguu nje aelewi kama ataolewa au ataachwa sababu huna mkataba wa kisheria unaowabana nae. Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kwenda kuoa mwanamke mwingine hata kama yeye ndie pasua kichwa.
 
Namanisha kuwa , tofauti na wanawake , Hakuna mwanaume anaingia kwenye ndoa kwa mikakati kuwa azingue mbele ya safari na kupata Tangible investments, kupitia Talaka.
Jizungumzie wewe tu usijumuishe na wengine, kila mmoja ana malengo yake.
 
Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani asilimia 89% ya maombi ya talaka yakaliwe na wao pekeao, ina maana elimu zao zinawaambia kwamba solution pekee ni talaka, nawaza sana yani

Ngoja niandike,
# .wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"

#. Haka kakiburi kanawaambia hivi "wewe ni msomi, una akili, unajiweza na mwanaume hatakiwi kukusumbua kwa lolote lile"

#. Haka kakiburi kamewafanya wengi washindwe kuwa wanyenyekevu kwa sababu wanajiona ni classy and high, inafika hatua wanaanza kuvimba.

#. Wengi walifanikiwa sana kielimu kiasi cha kupata fedha, vyeo na status katika jamii vichwa vikaelemewa sifa na kujiona wanajua na kuweza kila kitu.

#. Pengine ofisini kwao yeye ndo Managing Director na ana watu wengi wakiume wako chini yake kikazi, anataka na mumewe awe chini yake pia.

#. Elimu yake, cheo na fedha vinamwambia "Unastahili kunyenyekewa na sio kunyenyekea na unaweza kila kitu" wengi hapa ndipo wanapofeli sasa na kuleta mabalaa.

#. Pengine walipokuwa wanasoma waliambiwa maneno kama "Soma sana, tafuta fedha zako ili mwanaume asikusumbue kwa lolote lile" (hii ndo shida kubwa)

#. Kwahiyo wengi kuanzia hapo wakawa wanatembea na competetive mentality (fikra za kishindani) na muda wote wapo kinyume na jinsia ya kiume.

#. Kinachotokea, wakiolewa wanafanya mambo kama washindani (competetors) kwa wanaume wao na sio wapambanaji wenza (teammates)

#. Kitu kingine kinachowaharibu ni hizi FEMINISTS MOVEMENTS (harakazi zinazodaiwa kumpa nguvu mwanamke na kumkomboa kifikra)

Ukizifuatilia vizuri hizi harakati zinawafanya wanawake wahisi kwamba hata wao wanaweza kuwa kama wanaume since they can pay bills na ada za watoto.

Sikatai, ni kweli kabisa kuna majukumu mwanamke anaweza kuyanya kama mwanaume lakini haitatokea hata siku moja akawa kichwa cha familia.

🤔. Elimu walizopata wengi wao zimewasababishia kakitu kanaitwa "Control Freak Disorder" (unajua ni kanini haka??

🤔. Ni kale ka akili ka kumtaka mwanamke amcontrol mwanaume na kumfanya mwanaume aenende vile mwanamke anataka (amuweke chini)

🤔. Na hii inatokana na ukweli kwamba wengi wameweza kuongoza kakundi ka watu, wengi wameweza kufanya vitu vikubwa katika academic fields zao.

🤔. Kitendo cha kufanikiwa kuongoza kakundi ka watu kinawafanya hata kwenye ndoa nafasi ya kuongoza ambayo ni ya mwanaume aitake mwanamke, yaani yeye ndo awe kichwa.

Msuguano unaanzia hapo, mwanaume yeyote yule anataka yeye ndo awe top, ikitokea mwanamke akataka kumshusha mwanaume ili mwanamke awe top balaa linaanza.

Fuatilia, wanawake ninaowazungumzia hapa wengi wana kakiburi, wanajiona, na wanaamini kwamba hakuna kitu wanahitaji kutoka kwa wanaume na wanaweza kila kitu pekeao.

+. Wanaume wengi wanatafuta fedha ili wahudumie familia zao na kuwatimizia mahitaji, ila kwa wanawake mambo yako kinyume kabisa!

+. Wengi wanasoma na wanatafuta fedha ili waweze kuthibitisha kwamba wanaweza kufanya kama wanaume, wanaweza kuishi bila wanaume na hawawezi kusumbuliwa kwa lolote.

+.Ndio maana, kukiibuka kaugomvi kadogo wengi solution inakuwa ni kuachana ili kuthibitisha kwamba "NINAWEZA KUISHI MWENYEWE NA KAMA NI MTOTO/WATOTO NITALEA COZ NINA FEDHA"

Dear ladies, black brother wenu nawakubali kinoma na nafurahi kuwaona vile mnastrugle kupambania ndoto zenu (hongereni kwa hilo)

Lakini, jitahidi kadri uwezavyo fedha zako, elimu yako na cheo ulichonacho/utakachopata visikutie Kiburi mbele ya mumeo uliyenae/utakaekuwa nae.

Ni kweli umefanikiwa kielimu, pengine una mshahara mkubwa, au biashara zako zinaenda safi, una cheo/position fulani somewhere lakini WEWE BADO NI MWANAMKE.

Wakati wowote uwapo mke, mpe nafasi mwanaume awe mume, awe baba, awe kuongozi, awe dereva wa familia huku wewe ukiwa kwake msaidizi.

Hata kama ofisini kwenu una wanaume wengi unaowaongoza na wananyenyekea mbele yako usitake na mumeo akunyenyekee.

Mpe yeye nafasi ya kuwa king, mtii, msikilize na panapohitajika ushauri mpe ushauri kwa upole huku ukionesha kwamba unamuheshimu na kuamini katika nafasi yake.

Sasa nisikilize hapa, kuwa mnyenyekevu na mtiifu haimaanishi kwamba uvumilie kila upuuzi wa mwanaume (kuwa makini)

Yaani usiwe ni mwanamke wa kupelekwapelekwa in the name of NAMSIKILIZA MUME WANGU, NAMTII NA KUMNYEMYEKEA.

Uonapo mambo hayako sawa tafuta msaada ili usije ukaharibikiwa, mnayoweza kuyashughulikia wawili yashughulikieni yakikushinda njoo unambie

Mwisho; kama huamini kwamba elimu na hizi feminists movement zinaharibu zaidi ya vile zinatengeneza jiulize hivi

Kwanini wanawake wa sahivi wamesoma lakini hawadumu kwenye ndoa kama mama na bibi zetu walioishia darasa la nne/la saba.

Kadri mwanamke anavyoanda juu kielimu, kuna namna anapoteza WIFE TRAITS umakini unahitajika sana ndo mana wengi wanabaki single/single mothers.

Fuatilia wanawake woote unaowajua Tanzania ambao wana vyeo vikubwa, wamefanikiwa kibiashara au wapo top kwenye eneo lolote lile.

Wengi utagundua kwamba hawajawahi kuolewa, waliolewa wakaachika, walizalishwa na wakabaki hapo.

Elimu sio mbaya, fedha sio mbaya..lakini inakuwa mbaya pale inapoanza by
Quuen atake kuwa king, haiwezekani!
_
 
Jizungumzie wewe tu usijumuishe na wengine, kila mmoja ana malengo
Takwimu zinaonyssha wanawake mnaingia kwenye ndoa na malengo yenu, sio mapenzi.
Ndo maana mnakuwa wa kwanza kuomba talaka mambo yakianza kuwa green
 
Wanaume ndio tumeshindwa kuwa-handle wanawake wasomi.
Wanawake wasomi wanataka happy life na maisha yanayoakisi kiwango cha uelewa wenu.
Sasa wewe unaweka sheria kibaaaao na masharti kisa tu u-mwanaume kwenye nyumba.

Tushaambiwa tuishi nao kwa akili.

Akili unayotumia kuishi na mwanamke wa kawaida ni tofauti na akili utakayotumia kuishi na mwanamke msomi.
 
Baba zetu walipooa waliwaachisha mama zetu Kaz ili wawe wake, wazuri walitulea vizuri tukawa na maadili safi, tuongeze ukweli siku hizi hakuna mama bora, wake zetu nao wako bize kumtumikia kaisari huku asilimia kubwa ya malezi wakiachiwa housemaids, elimu naona kama imewaweusha, mtu amesoma darasani Ili mtoto akue vizuri inatakiwa anyonye maziwa ya mama angalau Kwa mwaka Moja na nusu, lakini Watoto wananyonyeshwa maziwa ya ng'ombe hiyo elimu imemkomboa Hapo??…. Nahisi elimu yao wamesoma Ili kupambana na mwanaume lakini Sio kuikomboa jamii kama wanavyojinadi, ndio Maana talaka zimekuwa nyingi
 
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani asilimia 89% ya maombi ya talaka yakaliwe na wao pekeao, ina maana elimu zao zinawaambia kwamba solution pekee ni talaka, nawaza sana yani🤔

Ngoja niropoke; wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"

Haka kakiburi kanawaambia hivi "wewe ni msomi, una akili, unajiweza na mwanaume hatakiwi kukusumbua kwa lolote lile"

Haka kakiburi kamewafanya wengi washindwe kuwa wanyenyekevu kwa sababu wanajiona ni classy and high, inafika hatua wanaanza kuvimba.

Wengi walifanikiwa sana kielimu kiasi cha kupata fedha, vyeo na status katika jamii vichwa vikaelemewa sifa na kujiona wanajua na kuweza kila kitu.

Pengine ofisini kwao yeye ndo Managing Director na ana watu wengi wakiume wako chini yake kikazi, anataka na mumewe awe chini yake pia.

Elimu yake, cheo na fedha vinamwambia "Unastahili kunyenyekewa na sio kunyenyekea na unaweza kila kitu" wengi hapa ndipo wanapofeli sasa na kuleta mabalaa.

Pengine walipokuwa wanasoma waliambiwa maneno kama "Soma sana, tafuta fedha zako ili mwanaume asikusumbue kwa lolote lile" (hii ndo shida kubwa)

Kwahiyo wengi kuanzia hapo wakawa wanatembea na competetive mentality (fikra za kishindani) na muda wote wapo kinyume na jinsia ya kiume.

Kinachotokea, wakiolewa wanafanya mambo kama washindani (competetors) kwa wanaume wao na sio wapambanaji wenza (teammates)

Kitu kingine kinachowaharibu ni hizi FEMINISTS MOVEMENTS (harakazi zinazodaiwa kumpa nguvu mwanamke na kumkomboa kifikra)

Ukizifuatilia vizuri hizi harakati zinawafanya wanawake wahisi kwamba hata wao wanaweza kuwa kama wanaume since they can pay bills na ada za watoto.

Sikatai, ni kweli kabisa kuna majukumu mwanamke anaweza kuyaperform kama mwanaume lakini haitatokea hata siku moja akawa kichwa cha familia.

Elimu walizopata wengi wao zimewasababishia kakitu kanaitwa "Control Freak Disorder" (unajua ni kanini haka, soma hapa chini👇)

Ni kale ka akili ka kumtaka mwanamke amcontrol mwanaume na kumfanya mwanaume aenende vile mwanamke anataka (amuweke chini)

Na hii inatokana na ukweli kwamba wengi wameweza kuongoza kakundi ka watu, wengi wameweza kufanya vitu vikubwa katika academic fields zao.

Kitendo cha kufanikiwa kuongoza kakundi ka watu kinawafanya hata kwenye ndoa nafasi ya kuongoza ambayo ni ya mwanaume aitake mwanamke, yaani yeye ndo awe kichwa.

Msuguano unaanzia hapo, mwanaume yeyote yule anataka yeye ndo awe top, ikitokea mwanamke akataka kumshusha mwanaume ili mwanamke awe top balaa linaanza.

Fuatilia, wanawake ninaowazungumzia hapa wengi wana kakiburi, wanajiona, na wanaamini kwamba hakuna kitu wanahitaji kutoka kwa wanaume na wanaweza kila kitu pekeao.

Wanaume wengi wanatafuta fedha ili wahudumie familia zao na kuwatimizia mahitaji, ila kwa wanawake mambo yako kinyume kabisa!

Wengi wanasoma na wanatafuta fedha ili waweze kuthibitisha kwamba wanaweza kufanya kama wanaume, wanaweza kuishi bila wanaume na hawawezi kusumbuliwa kwa lolote.

Ndio maana, kukiibuka kaugomvi kadogo wengi solution inakuwa ni kuachana ili kuthibitisha kwamba "NINAWEZA KUISHI MWENYEWE NA KAMA NI MTOTO/WATOTO NITALEA COZ NINA FEDHA"

Dear ladies, black brother wenu nawakubali kinoma na nafurahi kuwaona vile mnastrugle kupambania ndoto zenu (hongereni kwa hilo)

Lakini, jitahidi kadri uwezavyo fedha zako, elimu yako na cheo ulichonacho/utakachopata visikutie Kiburi mbele ya mumeo uliyenae/utakaekuwa nae.

Ni kweli umefanikiwa kielimu, pengine una mshahara mkubwa, au biashara zako zinaenda safi, una cheo/position fulani somewhere lakini WEWE BADO NI MWANAMKE.

Wakati wowote uwapo mke, mpe nafasi mwanaume awe mume, awe baba, awe kuongozi, awe dereva wa familia huku wewe ukiwa kwake msaidizi.

Hata kama ofisini kwenu una wanaume wengi unaowaongoza na wananyenyekea mbele yako usitake na mumeo akunyenyekee.

Mpe yeye nafasi ya kuwa king, mtii, msikilize na panapohitajika ushauri mpe ushauri kwa upole huku ukionesha kwamba unamuheshimu na kuamini katika nafasi yake.

Sasa nisikilize hapa, kuwa mnyenyekevu na mtiifu haimaanishi kwamba uvumilie kila upuuzi wa mwanaume (kuwa makini)

Yaani usiwe ni mwanamke wa kupelekwapelekwa in the name of NAMSIKILIZA MUME WANGU, NAMTII NA KUMNYEMYEKEA.

Uonapo mambo hayako sawa tafuta msaada ili usije ukaharibikiwa, mnayoweza kuyashughulikia wawili yashughulikieni yakikushinda njoo unambie.

SABABU ZINAZOFANYA WANAWAKE WENYE AKILI KUBWA, VYEO, FEDHA, ELIMU, UMAARUFU KUSUMBULIWA NA MAHUSIANO

Mwisho; kama huamini kwamba elimu na hizi feminists movement zinaharibu zaidi ya vile zinatengeneza jiulize hivi👇

Kwanini wanawake wa sahivi wamesoma lakini hawadumu kwenye ndoa kama mama na bibi zetu walioishia darasa la nne/la saba.

Kadri mwanamke anavyoanda juu kielimu, kuna namna anapoteza WIFE TRAITS umakini unahitajika sana ndo mana wengi wanabaki single/single mothers.

Fuatilia wanawake woote unaowajua Tanzania ambao wana vyeo vikubwa, wamefanikiwa kibiashara au wapo top kwenye eneo lolote lile.

Wengi utagundua kwamba hawajawahi kuolewa, waliolewa wakaachika, walizalishwa na wakabaki hapo.

Elimu sio mbaya, fedha sio mbaya..lakini inakuwa mbaya pale inapoanza kumfanya Quuen atake kuwa king, haiwezekani!......
Copied as it is ...
This is gud news...naona tunaelekea sehwmu sahihi...say no to ndoa wee zalisha tuu tuwe na single mamas kibao mbinguni twende wanaume tuu.
 
This is gud news...naona tunaelekea sehwmu sahihi...say no to ndoa wee zalisha tuu tuwe na single mamas kibao mbinguni twende wanaume tuu.
Bwanaaa weeee nipo mawindoni Jobless mwenzangu.. Leo bi mkubwa kanituma nikajiongeza, mtoto haibi anachukua
IMG_20220921_145819.jpg
 
Back
Top Bottom