Ni tangazo lipi la biashara la TV au redio unalichukia/unalipenda?

tofauti ya
Siilipend tangazo la SUNDER INTERNATIONAL la ITV na lile la Creesoft sabun ya unga nalo ni ITV yanakeraaaaaaaa maana ya muda. Mrefuuuuu kinyama
Siilipend tangazo la SUNDER INTERNATIONAL la ITV na lile la Creesoft sabun ya unga nalo ni ITV yanakeraaaaaaaa maana ya muda. Mrefuuuuu kinyama

Tofauti ya hivo vitu viwili ulivotaja ni Ipi..?
 
Lipo tangazo moja la family soap mtoto ana mmwagia tomato source mtu mzima halafu yule mtoto anapretend kana kwamba amefanya bahati mbaya wakati alimwelekezea yaani ni tangazo bovu hata tungempa mtoto wangu wa miaka miwili hawezi kutengeneza tangazo bovu namna ile. Tukubali tukatae wwnzetu kenya wako mbaaali sana kwenye kutengeneza matangazo haya ya video nadhani hapa kwetu bora tubakie na yale matangazo ya kuongea tu
 
Ehee lile la magodoro pia ni bovu hatari, sidhani kama wenye nalo walilipa pesa au lilikuwa nila offer?
 

Walifeli wapi..? Tuelekeze nass tuwakosoe
 
Haya matangazo inabidi yaanze kuwa ethical m.f serengeti na tangazo lao "nipe bia ninywe" kwa kutumia tune ya happy birthday..ina affect watoto wetu unakuta na wao wako busy wanaimba nipe bia ninywe wakijua ni kitu kizuri.. Ethics people, ethics.
wanatengenezwa kisaikolojia baadae waje kua wanyaji hiyo ndio mantiki yao
 
Hilo la timiza. Nikilisikia nabadilisha channel. Yule baba simpendiiiiii...
 
Hilo la tomato sauce nibayaaaaaa...
 
tangazo la dstv la joti silipendi bora hata lile la maji ya afya la ray.
 
Napenda lile la Coke braza anamtesa dogo, mara headphone aziweke juu ya kabati dogo asifikie then anakuja ku-save Coke ya dogo isinywewe na wabandidu flani na kutishia kuinywa then anampa dogo, wakati dogo anainywa anainyanyua kitako inakuwa kama inampalia dogo af braza Anasepa[emoji1]
 
Walifeli wapi..? Tuelekeze nass tuwakosoe
Walitaka kulifanya liwe LA kuchekesha lakini yule mwanaume anayejibu amejibu huku anasoma script Ile Bila kufanya kama anaongea kawaida kiuhalisia kwahyo ikalifanya liboe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…