Ni tangazo lipi la biashara la TV au redio unalichukia/unalipenda?

Ni tangazo lipi la biashara la TV au redio unalichukia/unalipenda?

Walitaka kulifanya liwe LA kuchekesha lakini yule mwanaume anayejibu amejibu huku anasoma script Ile Bila kufanya kama anaongea kawaida kiuhalisia kwahyo ikalifanya liboe
basi sawa kuna lingine jipya la ......... linakuja watajirekebisha
 
Haya matangazo inabidi yaanze kuwa ethical m.f serengeti na tangazo lao "nipe bia ninywe" kwa kutumia tune ya happy birthday..ina affect watoto wetu unakuta na wao wako busy wanaimba nipe bia ninywe wakijua ni kitu kizuri.. Ethics people, ethics.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀 dah comment of the week, hilo tangazo ni bovu kwakweli halivutii hata
 
Lipo yangazo moja la family soap mtoto anamwagia tomato source mtu mzima halafu yule mtoto anapretend kana kwamba amefanya bahati mbaya yaani bovu hata tungempa mtoto wangu wa miaka miwili hawezi kutengeneza tangazo bovu namna lile. Tukubali tukatae Wakenya wako mbaaali sana kwenye kutengeneza matangazo haya ya hapa kwetu bora muongeage tu
Mi pia hili tangazo silipendiiiiii
 
matangazo yote ya sabuni za unga
nayachukia sana kwa uongo uliopitiliza
halafu kuna lile la godoro host ni monalisa
na matangazo yote ya coca-cola sio kama mabaya yanapata air time ya kutosha mpaka yanakera
by the way for me coca-cola ndiyo kampuni inayotengeneza matangazo mazuri kupita kampuni yoyote ile duniani
Sure but coca hawafanyii Tz mengi Ni ya nje ndo mana Yana ubora Sana,wabongo wanayatafsir tu
 
Kuku akifungwa kamba anaanza mazoezi....ahahahaha.
Umeme ukikatika timu yetu inafungwaaa. .....
 
Kuna tangazo la mtandao wa Smart, jamaa yupo 3G wakati wengine wapo 4G.. Kila nikiliona naishia kucheka tuu mwenyewe.
Hilo kweli ni zuri Sana jama walifanya ubunifu WA Hali ya juu
 
Matangazo yote ya Magodoro ni mabovu kuwahi tokea

Matangazo yote ya Majuto ni mabovu angali Tomato Eource, Ivory,Lapf

Coca ndio wanaweza kwa matangazo
 
Back
Top Bottom