Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa alichokianzisha na mara nyingi mrejesho hutolewa na taasisi ambayo imevujishiwa maovu ila response yake ni ndogo mno kwa wananchi.
Makosa ndiyo huangaliwa kama kielelezo
Makosa ndiyo huangaliwa kama kielelezo