BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana.
Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na sio Wapinzani.
Hawa ndio wanao chota pesa BOT, na kwingineko.
Wakusanya Kodi ndio wanao sabanisha maisha ya ndugu zetu kule vijijin yawe magumu sana na kutwa nzima wanatusumbua tuwasaidie pesa.
Ni ujinga kuanzisha vita na either Mbowe, Lisu, Zitto Kabwe au mpinzani mwingine yoyote yule ilihali hakusanyi Kodi.Kwa sasa aduii ni CCM na serikali yake,, hawa ndio kila kitu.
Kule Uganda Waganda wana ugomvi mkubwa sana na Mseveni, kwa sababu yeye ndie mkusanya kodi, hawana ugomvi hata kidogo na Wapinzani.
Kenya the same kwa ruto, kule Zambia Wazambia wana ugomvi na Hechilema kwa sababu yeye ndie mkusanya kodi, Wazambia kwa sasa hawana shida na Edga Lungu make hakuanyi kodi.
South Africa Raia wana chuki na ugomvi na ANC Make ndio wakusanya kodi.
Ni Tanzania pekeee kwa Africa na Duniani ndiko Raia wajinga wana hamisha maggoli, wana ugomvii na vyama vya Upinzani na sio CCM inayo tawala.
Mimi nina ugomvi na CCM mwanzo mmwisho.Nina ugomvi na wakusanya kodi wa hili Taifa.