Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisahau kujua km kuna magoli ya assist, penalties, dakika chache za kucheza pia mchezaji km alifunga magoli akiwa timu nyingine je ataitwa mchezaji bora wa timu ama wa ligiYaani sijui nani katuroga!
Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele!
Kwanini yaani!
Eti ooh,
Kamati ndio itakuwa!
Kamati my foot!
Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu, itategemea zimepangwa kwa mtiririko upi,
Kwamfano FIFA, kombe la Dunia wao waliweka (kama magoli yamelingana) basi watatumia
1. Assist
2. Dakika chache za kucheza.
3. Magoli ya Penalties
Sasa hapa kwetu HAKUNA AJUAE!
Sawa ngoja kamati imchague Mayele au Saido
WonderingIko hivi, kwenye zile kanuni kuu za Ligi huwa haiwekwi, hizi huwa ni kanuni ndogo za michuano. Nenda hata CAF hakuna sehemu wameweka utaratibu wa Top Score but wanajua kuna mfungaji bora nk. Kuna kanuni kuu na ndogo, kanuni ndogo zipo TFF na kanuni kuu za Ligi huwa zinakuwa Published.
Watu mnachanganya TOP SCORE vs GOLDEN BOOT.
Wote mnaweza kuwa Top Score lkn haiwezekani wote mpate Golden Boot kwenye michuano mingi.
Kwa Bongo Top Scores ni MAYELE 17 [emoji460]️
SAIDO 17 [emoji460]️
Ila Golden Boot atapata MAYELE kwa kuwa ana magoli machache ya penati.