Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

πŸ‘πŸ‘πŸ‘ lakini walisitisha lini safari zao za Tanzania au zilikuwa sababu za Corona kwa sababu hili janga limetesa sana mashirika ya ndege na biashara ya utalii kwa ujumla.
 
Kwani hii ndio picha ya kwanza ya ndege za watalii kutua KIA tangu awamu hii ingie madarakani? Wakati wa awamu ya Hayati JPM picha hizi zilikuwa nyingi tena kipindi corona imepamba moto huko duniani.
 
Sina taarifa kamili! Inaonekana ndo wameanza baada ya kipindi kirefu au hawakuwa wanakuja kabisa!

Sidhani kama walisitisha kipindi cha corona
 
Kwani hii ndio picha ya kwanza ya ndege za watalii kutua KIA tangu awamu hii ingie madarakani? Wakati wa awamu ya Hayati JPM picha hizi zilikuwa nyingi tena kipindi corona imepamba moto huko duniani.
Jaribu kutofautisha picha za kupokea watalii na picha za shirika la ndege kuanzisha Safari za kuja Tanzania
 
Vitu vingine kama huvijui nyamaza
Ongea vichache tu unavyovijua
 
Hana maneno mengi kama yule bwana aliyenifanyaga niichukie ccm ila kwa mwendo huu nasema hivi "NIMEREJEA KUNDINI"πŸ€—
Wakati wa Magu mbona ndege zilikuwa nyingi za kitalii........
ama mnajisahaulisha kijinga!!?
 
Kwani hii ndio picha ya kwanza ya ndege za watalii kutua KIA tangu awamu hii ingie madarakani? Wakati wa awamu ya Hayati JPM picha hizi zilikuwa nyingi tena kipindi corona imepamba moto huko duniani.
Achana na washamba hao......
hawajielewi kama kuku wa kizungu
 
Fisadi lililozuiwa mirija ya ufisadi linachekelea, kwa taarifa yako hata awamu ya 6 huwezi kupiga
Fisadi tenaaa??? Mm ata salary ya serikali siijui ilivo nduguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fisadi lililozuiwa mirija ya ufisadi linachekelea, kwa taarifa yako hata awamu ya 6 huwezi kupiga
Fisadi tenaaa??? Mm ata salary ya serikali siijui ilivo nduguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakati wa Magu mbona ndege zilikuwa nyingi za kitalii........
ama mnajisahaulisha kijinga!!?
Tatz kwangu siyo ndege, tatz lilikuwa utawala wake tu wa mabavu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…