Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

Hivi uwa mnawaza nini kusifia ujuha kwani Magufuli alikuwa SAU ama.
 
Hili tukio laiti kingetokea wakati wa yule hayawani wa Nzega akiwa Waziri tungesumbuliwa sana. Maana kuna siku Kigwangalla aliacha shughuli Dodoma kwenda KIA kuwapokea wazungu 3.

Mwenye ile picha au clip ailete humu
 
Fisadi tenaaa??? Mm ata salary ya serikali siijui ilivo nduguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakina ruge na seth walivyokuwa wanatupiga walikuwa wanajua salary ya gvt?
 
Hana maneno mengi kama yule bwana aliyenifanyaga niichukie ccm ila kwa mwendo huu nasema hivi "NIMEREJEA KUNDINI"[emoji847]
Karibu Nyumbani na hatukati mikia, kwani huo ulikuwa dhulma
 


Kabla ya hapo hatukuwa na Rais bali tulikuwa na Nyapara wa Barabara.
 
Ndege ya kukodisha ikileta watalii wewe unasema shirika limeanzisha ruti ya kuja Tanzania? Hujui tofauti au unafanya hivi makusudi?
 
Mmmmm uyo uyo munaye muita katili ndo aliwafanyia mambo mengi ambayo ingeliwachukuwa zaidi ya miaka 20 au 30 kutimiza aliye watimizia

Tanzania toka 2005 mpaka 2015 ilikuwa ya 12 kwa uchumi Afrika uyo uyo Mnaye muita katili ndo aliwafanya mpaka Sasa ivi TZ iwe juu kiuchumi

Uyo uyo Mnaye muita katili ndo alifanya TZ
Iwe Tishio kwenye inch za ki Afrika

Yaani ninyi kupokea tu watalii ndo mumeona mmefika
Basi mwambieni uyo Mama yenu afanye yote ambayo magufuli alifanya kwa mda mdogo kuokowa uchumi wa Tanzania
Ujenga mabarabara Na kuendeleza baadhi ya miradi aliyo acha magufuli tuone kama ATA weza zaidi ya kuwa ana pangiwa Na wazungu

Siku zote Mzungu utaka kumtawala mwafrika look Chine right now waliachana Na sera za kizungu Sasa ivi wako wapi
Na ndicho magufuli alicho kuwa Na kitaka kwa watanzania iwe inch ya kujitegemea sio kupewa pewa vijizawadi kama watoto wadogo

Alitaka waje wafanye biashara sio Kuja kutawala au Kuja kuiba Mali za wa Tanzania
And i trust this New president killed her fellow
 
YULE JAMAA APUMZIKE TU KWA AMANI,NJIA ALIYOKUWA ANAIPELEKA TANZANIA ZILIKUWA WA KUZIMU.HAIWEZEKANI UKAISHI DUNIANI KIPEKEYAKO AU KAMA IPO PEKE YAKO hate hate hate the past.
 
Endelea kuota ukiamka tafuta juice ya ndimu unywe!

Kuna Rais kajenga kilomita nyingi za barabara nchi hii kama Rais wa awamu wa nne? Hivi nyie wajinga Mbona mnapenda sana kuleta matango pori kwa watu wenye akili humu?

Huyo mjinga wako kafanya Tanzania iwe tishio kwenye nini? Acheni kuleta ushamba wenu kwa watu wenye akili!

Nani kasema watalii wanakuja kuiba mali za Tanzania? Umeishia darasa la ngapi we mtu?
 
Ndege ya kukodisha ikileta watalii wewe unasema shirika limeanzisha ruti ya kuja Tanzania? Hujui tofauti au unafanya hivi makusudi?
Nani kasema iyo ni ndege ya kukodisha?

Umeishia darasa la ngapi?

Shirika la ndege limezindua Safari zake kuja Tanzania na watakuwa wanakuja Tanzania mara mbili kwa wiki wewe unasema ndege ya kukodi?

Ukiitwa msukule utasema unatukanwa!
 
Ndege ya kukodisha ikileta watalii wewe unasema shirika limeanzisha ruti ya kuja Tanzania? Hujui tofauti au unafanya hivi makusudi?
Tena kama ni ya kukodi ndio ina faida zaidi kwa sababu abiria wote wanakuwa wamekuja kwa lengo moja tu la utalii.

Maana yake ni pesa pesa pesa pesa pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…