Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

Wasiomwelewa ni masalia ya Sukuma gang tu, waliodhani shetani atatawala milele.
Sasaivi wakiona jambo la Samia tu wana neno lao eti tunauzwa! Wamekaririshwa saivi kusema tunauzwa kwenye kila kitu
 
Tena kama ni ya kukodi ndio ina faida zaidi kwa sababu abiria wote wanakuwa wamekuja kwa lengo moja tu la utalii.

Maana yake ni pesa pesa pesa pesa pesa tu.
Utawaweza Chato gang! Wao sasaivi ni tungatunga fc! Wahusika wanasema ndege zitakuwa zinakuja mara mbili kwa wiki wao wanasema ndege imekodiwa! Wao ni kupotosha tu
 
Utawaweza Chato gang! Wao sasaivi ni tungatunga fc! Wahusika wanasema ndege zitakuwa zinakuja mara mbili kwa wiki wao wanasema ndege imekodiwa! Wao ni kupotosha tu
Kama imekodiwa maana yake ni nzuri zaidi inabeba matajiri watupu wanaokuja kuspend pesa tu, hakuna wafanyakazi maana yake au return residence.
 
Wakina ruge na seth walivyokuwa wanatupiga walikuwa wanajua salary ya gvt?
Bc tu hunijui mkuu, mm sina makonekisheni hayo sasa. Mm n age 27 unaweza kujiongeza mwenyewe mm n kijana wa aina gani.
 
swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Safi sana Mhe Samia
 
Shirika letu sisi limezindua safari za wapi? Pia mbona gharama za maisha zinazidi kua juu Nini shida,mfumko wa Bei unazidi kupaa hewani tatizo Nini mh.
 
Mimi harakati zozote za kurudisha Tanzania duniani nitazisapoti. Big up #SSH! Endelea kurejesha Tanzania duniani!
Wananchi Watanzania wanahitaji "kula mgao wa keki ya dunia"!
Hii itasaidia sana kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja badala ya kutegemea "tozo za wizi"!
 
Hivi uwa mnawaza nini kusifia ujuha kwani Magufuli alikuwa SAU ama.
Uwe unaelewa na wewe. CCM iliyoongozwa na magufuli iliuwa watanzania wengi sana ikiwemo jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu na nchi nyingi zilivunja uhusiano na Tanzania. Serikali inaonesha kurudisha mahusiano ya kimataifa na kuacha mauaji ya kisiasa.
 
Mama nmeanza kumwelewa[emoji16]
Mama anaeleweka muda mrefu, ni mzalendo na mtu sahihi kushika hatamu. Anaupiga mwingi na hana kelele, Kwa mwendo huu 2025 nchi nzima itaimba jina lake
 
Hivi wakati wa magufuli Tanzania ilitishia nini kwenye nchi za kiafrika? Naona mnaongea kama vichaa nyie wafuasi wa mwendazake
 
Haya majitu ya chatogang tukimsifia mama kwenye mambo mazuri yananuna [emoji23][emoji23]
 
Nyie ndio mnaotafuta kushibisha matumbo kwa kujipendekeza, wakati serikali ya awamu ya tano kuwa na propaganda na kudharau Sera za Mambo ya nje ,kutofata protocol za kupambana na Corona kimataifa (NIMEKUNUKUU) hamkukemea wala kuonyesha kutopendezwa nayo Leo mmekuwa wahubiri wa mapungufu ya awamu ya5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…