Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii;
Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya:
~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako
~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba
~ Uwe unalima mazao biashara
Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo masharti yote yanategemea fedha anayotaka kukopa.