denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hapo ulipoandika "tupange safu za viongozi kulingana na matokeo tunayotaka" ndipo penye chimbuko/ kiini cha tatizo..
Inavyoonekana tumekuwa na viongozi wenye hari ya mabadiliko, waliokuwa tayari kwa nguvu na hali zao kufanya lililo ndani ya uwezo wao, lakini bahati mbaya tukawaangusha.
Sasa unaporudi na kusema tupange safu za viongozi tunaowataka wakati huu ndio napata kigugumizi, kama ile safu ya viongozi waliokuwa tayari kwa mabadiliko ilionekana haifai kwa kushindwa kwetu kuwaunga mkono, naona ni sawa na kusema tunataka safu ya viongozi laini wasio tayari kwa mapambano..
Unless otherwise tujiulize, tutafanya nini kurudisha safu ya viongozi wapenda mabadiliko, je, tupo tayari kuwaunga mkono this time? Lakini naona kuwaweka wapenda mabadiliko huku mentality zetu zikiwa zilezile ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.