Ni timu gani kati hizi tano nijiunge nayo kwa ajili ya `Signal Subscription’ wakati na mimi najifua mdogo mdogo

Jina la akaunti yake ya telegram?
 
July boy mtoe hakuna kitu pale, jiunge na hao Afriforex akina Pancho Pachilo
 
255-millionaires Fx wako vizuri.
 
Wote wabongo huyo july boy ni mjanja mjanja tu,lakini huyo Pancho Pachilo yuko makini sana waweza mtafuta IG lakini jitahidi pia na wewe kusoma na kupractice sana.
Sijawahi kabisa kuwasikia hawa. Ni wabongo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ma men chief at his best
Poa. Sema nini, unaonekana kama mshamba hivi. Hujui principle za cash flow.
Nyinyi ndio wale ukiona 500 barabaran huokoti kisa una 10,000 mfukoni.
Acha ushamba. Elimika. Fatilia principle za active and passive income ujanjaruke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…