The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
Dah polee sana mkuu,angaliaa kesho wasikupate tena sasa2014 nilidanganywa kua DIAMOND PLATINUMZ kafariki halafu ndio nilikua nampango wa kuhamia WCB
Hapana hawawezi tenaDah polee sana mkuu,angaliaa kesho wasikupate tena sasa
Mkuu kila kona upo?Hapana hawawezi tena
Kila sehem nipo jooMkuu kila kona upo?
Sijawahi mkuuMkuu Mndali ndanyelakakomu wewe hujawahi kumbana na kadhia ya siku ya wajinga?
Poa mkuuKila sehem nipo joo
Duuh hiyo haramu nimeielewaHabari za Fool's Day, Valentines Day, sijui siku ya Wanawake duniani....
Kwetu sisi Waislamu ni haramu haramu.
Hatuna muda na mambo ya kipuuzi kama hayo
Hayo ni maoni yako Chief,lakini lengo la thread ni kutaka kuweka awareness ya siku hii,maana watu wengine ufanya zaidi ya lengo la siku yenyewe na kusababisha madhara makubwa,hivyo kwa kuwa haya yanatokea katika jamii ambayo ni mchanganyiko wa watu wa tamaduni na imani zote na sisi tupo katika hizi jamii basi sioni taabu kuelimishana ili tuone to what extent siku hii inaweza leta madhara au faida..........(Not to that Extent mkuu).Habari za Fool's Day, Valentines Day, sijui siku ya Wanawake duniani....
Kwetu sisi Waislamu ni haramu haramu.
Hatuna muda na mambo ya kipuuzi kama hayo
Dah polee kiongozi,bila shaka ulikuwa umeshaaanza kuupangia matumizi mshahara wako wa kwanza hapo...2016 niliambiwa POST za ualimu zimetoka duuu kumbe empty
Haha haha haha haha [emoji23] Rayvan viva, ndio Jina lako Jamii Forum2014 nilidanganywa kua DIAMOND PLATINUMZ kafariki halafu ndio nilikua nampango wa kuhamia WCB
Kabisaa yaanDah polee kiongozi,bila shaka ulikuwa umeshaaanza kuupangia matumizi mshahara wako wa kwanza hapo...
Dah polee kiongozi,bila shaka ulikuwa umeshaaanza kuupangia matumizi mshahara wako wa kwanza hapo...
Nitakujibu siku nikiwa Verified Usser.Haha haha haha haha [emoji23] Rayvan viva, ndio Jina lako Jamii Forum
Na kesho watakuambia tena zmetoka2016 niliambiwa POST za ualimu zimetoka duuu kumbe empty