Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Sijawahi kudanganywa,namshukuru Mungu kwa hilo.
Ahahahah,mkuuu ukajuaa tu ile combination ya Bale,Ronaldo na Messi lazima ikupe home kila ukisikiaa El Clasico....1-4-2017 Goal.com walitangaza kuwa Messi kasajiliwa na Real Madrid, kwanza Madrid siipendi maana mimi ni shabiki wa Barca, so nikazidi kuilaani Madrid.