Ni Tukio gani ambalo umewahi kulifanya, au kufanyiwa katika siku ya Wajinga

1-4-2017 Goal.com walitangaza kuwa Messi kasajiliwa na Real Madrid, kwanza Madrid siipendi maana mimi ni shabiki wa Barca, so nikazidi kuilaani Madrid.
Ahahahah,mkuuu ukajuaa tu ile combination ya Bale,Ronaldo na Messi lazima ikupe home kila ukisikiaa El Clasico....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…