Ni tukio gani la kunusurika usiloweza kusahau?

Ni tukio gani la kunusurika usiloweza kusahau?

Nil
2. Hili sasa nalo Babu kubwa kwnye maisha yangu sita kuja nlisahau
Nilifika Mkoa wa Mwanza wilaya X kata X, pale nlikuwa nipo na kaz ya Mkataba
Kwenye mambo ya Maji. Sasa bana nmefika pale nmekaa wiki nmekaa kama miezi mitatu ulipofka kuanza mwezi nne(kipnd Cha kukaa pale) Afya yangu nikaona kama siielewi mara kuumwa, kukonda, baridi hlo kwenye jua Kali yaan unaskia barid Kali hatr,. Nkaenda kucheki hospital ya Government walinipata na magonjwa kama 5 hivi,(Typhoid, Amoeba, malaria, UTI, Vidonda vya tumbo,) nlichmuuliza Dokta n kwmba hayo yote n yangu alijibu ndyo nkapewa. Dawa,
Bas nkaenda Tena hospital ya Private
Hapo nikacheki na HIV majbu yakasema ni -(Negative) ila yote nikiyokutwa nayo kule waliyapata pia
Pale. Skuchukua dawa, ila pale Government waliuza hvi unakunywa pombe nkasema. Hapa maan kwl nilkuwa stumii, basi. Akasema mbona upo na Hali hii ya hatr alimwelewa dokita.
Kwel ilikuwa hatr maaan nlikuwa nkila wali, nyama au maharage nikienda haja kubwa nashusha kama nilivokula
Yaan bila kumeng'enywa yaaan unarudisha kama ulvokula daah nilkaaa na hyo Hali wili mbili nkitembea road upepo unanipeperusha jamani hiii Dunia achan tu
Usku naota nmekufa mara gari ya maiti imenfata naona kabs wanvofungua geti kunibeba kuniweka kwnye gari mbele Kuna ndugu zangu
Daaah, hiki kipndi kilikuwa hatari sana
Hapo nlikuwa na Mama ake mtoto wangu wa kwnza alikuwa kunisalimu alikuta naumwa mwanzo mwanzo
Kuna siku nimshuka kitu choon nkamuita aone alisema mmmh jamn mbna hii hatr jamn usfe mm ndo nitakuwa muuaji jamn mbna utaniachia shida na mtoto mdgo kiasi hki🤭🤭🤭
Bas nilimshrikisha Bi mkubwa akanituma Kansan nkamshrikisha padri wa eneo lile, pia nkaanza na kufatilia Mtumishi wa Mungu Mwamposa kwenye Tv yake ya A rise and shine🙏🏿🙏🏿(Mida ya saa tatu Kuna kipindi cha Ukombozi wa familia)
Nilipata ujasri Sana nlichomwomba Kupitia Yale maombi ni Mungu n, Nguo yangu irudishwe mara moja na mtu alieichukua, mbili,
Naomba nikienda hospital nkipma nkute ugonjwa mmoja tu ama syo nife
Na kweli nkarud hospital nkapma nkakutwa na Typhoid tu nkatumia sindano nkapona

(Ombi la kwnza).Nyuma yaan story hii kulikuwepo Na kupotelewa na nguo yangu niliingia kwnye maombi kwa, (rejea hapo juu) kufatilia Mwamposa Ile nguo ilirudishwa na jiran ambae mwanzo alisema hakuiona na haijui(maan nlimuuliza kma aliiona nguo yangu kwnye kamba-nyumba za kupanga) ko baada ya Ile nguo kupotea ndo maradhi yalianza.

Mungu n Mweza wa yote, kama ujapangiwa kuondoka katika hii dunia huwez ondolewa na Binadamu.
Nikifikia hatua Hadi ya kugoole hatua za kufaa yaani zote nilikuwa nazo afu pale mwsho wanahitisha kwmba ukiwa na hzi dalili piga emergency number Iko pale daaah😂😂, Kuna dawa nyuma niandkiwa niifate Mwanza mjini kwnye gari konda alinipa siti na kati Kuna watu wengi walikuwa mamesmama. Na ilikuwa mara kwnza kumtjia jina langu ila baada ya dakika kum na Tano aliniita falan njoo ukae hapa, baada ya kupna nlimuuliza hvi kw nn ulipa sit sku zle ajlijb kwmba kaka. Ile sku nlikuona uko na Hali mbaya sna na skujua kama utafika mjini, na kwel nlvokuw nmekaa nlkuwa Nawaza nkifia humu nitatambukije. Mm nafia safrn Mimi daaah n hatr hii Dunia Ina mengi sana
 
...mm nilinusurika ilikua nyoka koboko yule kama ana rangi kahawia na mdomo wake mweusii tii...

Ilikua mida ya jioni natoka zangu kisimani sasa tulikua tunafanya kilimo cha umwagiliaji mm na washkaji zangu2 apo nmetoka shamba nmepgka vbaya mnoo
ilikua zamu yng kufata maji ya kupkia kisimani sasa ukiwa unarudi kuna road ndefu afu km unapanda kilima iv basi mzee mwenzangu nimebeba ndoo mbili Natembea kwa mazoea na kigiza kile chini hata huoni vzur maana labda uwe msim wa mbalamwez mnaona..

basi nmeenda wee kumbe kuna bonge la joka limekata upande wa barabara mm sijaliona alaf niko nalo usawa ule ule nnaotembea.. hamaadii mguu uko juu ya nyoka mamaa wè nilipgwa na ubaridi mmoja nkaganda pale pale kwa jins yule nyoka alivofoka alaf mdogo mdogo anaingia porini asee mungu na wanadamu! kwa shoo za koboko shughuli ilikua inaisha pale pale
Mpk nafika geto siamini nawahadithia washkaji hawakuamini maana koboko alivo ukimsogelea ni lazma akushkishe adabu.. sasa mpk leo sielew ndo tuseme kama bado mda wa kufa kivyovyte unapona yaani niikumbuka hii scenario naamini mungu yupo..maana mm skukimbia nilijikuta nmeganda nguvu sina afu wabariidii nyoka ndo alisepa mdogo mdogo namuona anaingia porini alafu ni deadliest snake..daah asante muumba maana kipind kile nilikua sina hata mtoto ningekufa hata chata sijaacha mjuba 😎..
 
mm nilinusurika ilikua nyoka koboko yule kama ana rangi kahawia na mdomo wake mweusii tii

Ilikua mida ya jioni natoka zangu kisimani sasa tulikua tunafanya kilimo cha umwagiliaji mm na washkaji zangu2 apo nmetoka shamba nmepgka vbaya mnoo
ilikua zamu yng kufata maji ya kupkia kisimani sasa ukiwa unarudi kuna road ndefu afu km unapanda kilima iv basi mzee mwenzangu nimebeba ndoo mbili
Natembea kwa kimazoea na kigiza kile chini hata huoni vzur maana labda uwe msim wa mbalamwez mnaona basi nmeenda wee kumbe kuna bonge la joka limekata upande wa barabara mm sijaliona alaf niko nalo usawa ule ule nnaotembea hamaadii mguu uko juu ya nyoka mamaa wè nilipgwa na ubaridi mmoja nkaganda pale pale kwa jins yule nyoka alivofoka alaf mdogo mdogo anaingia porini asee mungu na wanadamu! kwa shoo za koboko shughuli ilikua inaisha pale pale
Mpk nafika geto siamini nawahadithia washkaji hawakuamini maana koboko alivo ukimsogelea ni lazma akushkishe adabu sasa mpk leo sielew ndo tuseme kama bado mda wa kufa kivyovyte unapona yaani niikumbuka hii scenario naamini mungu yupo..maana mm skukimbia nilijikuta nmeganda nguvu sina afu wabariidii nyoka ndo alisepa mdogo mdogo namuona anaingia porini alafu ni deadliest snake..daah asante muumba maana kipind kile nilikua sina hata mtoto ningekufa hata chata sijaacha mjuba 😎
Pole sana mkuu.
Una bahati sana kwa kweli.
 
Afya ndio uhai. Ukiwa na afya , utatafuta pesa. Ukiwa hoi kitandani huwezi tafuta pesa.
Kweli, Cha kumshukuru Mungu Kwa kipndi hcho skulala kitandni kwmba kama mgonjwa nlikuwa tambea yaan kama mzima. Lakn njian napepesuka, usku ndo ukienda kulala unahisi. Hatua zote za kufa unajwaziw watu wanakuga sana usku kwl leo nitaamuka. 😂😂😂
 
Nilinusurika hapa 👇👇

Nilinusurika hapa 👇👇

Aiseee
 
Kisa changu ni cha aibu.
Sitakiweka hapa, ila jueni tu...nilinusurika kifo, nilikiona kifo kikiwa inch 1 toka machoni pangu.
Nashukuru Mungu, nilinusurika japo niliokuwa nao walipoteza maisha wote 3.
Mungu akiamua kukuepushia na kifo, basi huna budi kumshukuru.
 
...mm nilinusurika ilikua nyoka koboko yule kama ana rangi kahawia na mdomo wake mweusii tii...

Ilikua mida ya jioni natoka zangu kisimani sasa tulikua tunafanya kilimo cha umwagiliaji mm na washkaji zangu2 apo nmetoka shamba nmepgka vbaya mnoo
ilikua zamu yng kufata maji ya kupkia kisimani sasa ukiwa unarudi kuna road ndefu afu km unapanda kilima iv basi mzee mwenzangu nimebeba ndoo mbili Natembea kwa mazoea na kigiza kile chini hata huoni vzur maana labda uwe msim wa mbalamwez mnaona..

basi nmeenda wee kumbe kuna bonge la joka limekata upande wa barabara mm sijaliona alaf niko nalo usawa ule ule nnaotembea.. hamaadii mguu uko juu ya nyoka mamaa wè nilipgwa na ubaridi mmoja nkaganda pale pale kwa jins yule nyoka alivofoka alaf mdogo mdogo anaingia porini asee mungu na wanadamu! kwa shoo za koboko shughuli ilikua inaisha pale pale
Mpk nafika geto siamini nawahadithia washkaji hawakuamini maana koboko alivo ukimsogelea ni lazma akushkishe adabu.. sasa mpk leo sielew ndo tuseme kama bado mda wa kufa kivyovyte unapona yaani niikumbuka hii scenario naamini mungu yupo..maana mm skukimbia nilijikuta nmeganda nguvu sina afu wabariidii nyoka ndo alisepa mdogo mdogo namuona anaingia porini alafu ni deadliest snake..daah asante muumba maana kipind kile nilikua sina hata mtoto ningekufa hata chata sijaacha mjuba 😎..
1.Kulikuwa na giza means hukumuona mara ukamuona na kumtambua mpaka mdomo wake mweusi tii mdomoni wakati hata hukugatwa na uref wa mlipokuwa wewe na yeye kwa juu mpka chini alipo yeye ni futi 3+.

2.mlikuwa mnatembea usawa mmoja ghafla ukamkanyaga?

Si kila thread tuchangie kwani uongo unakuahushia cv humu jf kwa baadae
 
...mm nilinusurika ilikua nyoka koboko yule kama ana rangi kahawia na mdomo wake mweusii tii...

Ilikua mida ya jioni natoka zangu kisimani sasa tulikua tunafanya kilimo cha umwagiliaji mm na washkaji zangu2 apo nmetoka shamba nmepgka vbaya mnoo
ilikua zamu yng kufata maji ya kupkia kisimani sasa ukiwa unarudi kuna road ndefu afu km unapanda kilima iv basi mzee mwenzangu nimebeba ndoo mbili Natembea kwa mazoea na kigiza kile chini hata huoni vzur maana labda uwe msim wa mbalamwez mnaona..

basi nmeenda wee kumbe kuna bonge la joka limekata upande wa barabara mm sijaliona alaf niko nalo usawa ule ule nnaotembea.. hamaadii mguu uko juu ya nyoka mamaa wè nilipgwa na ubaridi mmoja nkaganda pale pale kwa jins yule nyoka alivofoka alaf mdogo mdogo anaingia porini asee mungu na wanadamu! kwa shoo za koboko shughuli ilikua inaisha pale pale
Mpk nafika geto siamini nawahadithia washkaji hawakuamini maana koboko alivo ukimsogelea ni lazma akushkishe adabu.. sasa mpk leo sielew ndo tuseme kama bado mda wa kufa kivyovyte unapona yaani niikumbuka hii scenario naamini mungu yupo..maana mm skukimbia nilijikuta nmeganda nguvu sina afu wabariidii nyoka ndo alisepa mdogo mdogo namuona anaingia porini alafu ni deadliest snake..daah asante muumba maana kipind kile nilikua sina hata mtoto ningekufa hata chata sijaacha mjuba [emoji41]..
Hilo hapo
Screenshot_20240327-121115.jpg
 
Mimi nilinusurika kogongwa na zile daladala ndogo( hiace, vipanya).

Maeneo ya pale kibamba CCM.

Nilikuwa nataka kukata tiketi ili nipande mwendokasi iliyokuwa imesimama kituoni (barabara ndogo)
Mara nikaona barabara kuu (Moro road) kuna daladala zinazopita kimara.

Basi nikatoka nakimbia bila kuangalia nyuma ya mwendokasi .

Ile napita mbele ya mwendokasi, natoa kichwa hivi kuna kidaladala kikapita speed sana.

Kama ningewahi 1sec ilikuwa inanigonga.

Bado sijasahau ili tukio.
 
Kisa changu ni cha aibu.
Sitakiweka hapa, ila jueni tu...nilinusurika kifo, nilikiona kifo kikiwa inch 1 toka machoni pangu.
Nashukuru Mungu, nilinusurika japo niliokuwa nao walipoteza maisha wote 3.
Mungu akiamua kukuepushia na kifo, basi huna budi kumshukuru.
Aiseee pole sana madam.
Mungu ni mwema sana
 
Mimi nilinusurika kogongwa na zile daladala ndogo( hiace, vipanya).

Maeneo ya pale kibamba CCM.

Nilikuwa nataka kukata tiketi ili nipande mwendokasi iliyokuwa imesimama kituoni (barabara ndogo)
Mara nikaona barabara kuu (Moro road) kuna daladala zinazopita kimara.

Basi nikatoka nakimbia bila kuangalia nyuma ya mwendokasi .

Ile napita mbele ya mwendokasi, natoa kichwa hivi kuna kidaladala kikapita speed sana.

Kama ningewahi 1sec ilikuwa inanigonga.

Bado sijasahau ili tukio.
Pole sana mkuu.
Kuna risk sana barabarani
 
Back
Top Bottom