Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
YOUR DAYS ARE NUMBEREDFumanizi la mwanafunzi noma sana sitasahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YOUR DAYS ARE NUMBEREDFumanizi la mwanafunzi noma sana sitasahau
Asante kuu..Serious? Pole sana mkuu
Aisee, Mungu anakupenda sana. Pole kwa hiyo mikasa2016 nilinusurika Mungu ni mwema.
Napeleka mzigo kwa mtu x kumbe nafatiliwa na wazee wa kazi nafika kwenye ile nyumba pembeni yake kuna restaurant nikasema hebu ninywe juisi nijipongeze kwa kufika salama hata ile juice siweka mdomoni nikasikia risasi hizo..... Badae nakuja kuambiwa aliingia mwanamke wakajua ni mimi na wazee nao kuingia x alipigwa risasi saa 11 jioni lakini akapona.
Ya pili niko kwenye gari naenda sehemu x kufika mlimani gari ikafeli ikaanza kuyumba huku inarudi nyuma nilitupwa kule nikaanguka mizigo ikanilalia nilikuja kutolewa baada ya masaa mawili nilikuja kutolewa nasikia kwa mballii amekufa huyo lakini nilizinduka kwa maumivu makali sana ya kifua..
Uso kwa uso na komando dogo k nine bus likatekwa tunaona hao tunasubiliwa dereva akapaki gari sitasahau vihere here waliosimamisha vichwa vyao wote walifumuliwa vichwa siwezi kusahau mpka leo nikiona damu nazimia.
Acha tu niliyopitia Mungu tu anajua na kunipambaniaAisee, Mungu anakupenda sana. Pole kwa hiyo mikasa
Pole aise, matukio hatari yote.2016 nilinusurika Mungu ni mwema.
Napeleka mzigo kwa mtu x kumbe nafatiliwa na wazee wa kazi nafika kwenye ile nyumba pembeni yake kuna restaurant nikasema hebu ninywe juisi nijipongeze kwa kufika salama hata ile juice siweka mdomoni nikasikia risasi hizo..... Badae nakuja kuambiwa aliingia mwanamke wakajua ni mimi na wazee nao kuingia x alipigwa risasi saa 11 jioni lakini akapona.
Ya pili niko kwenye gari naenda sehemu x kufika mlimani gari ikafeli ikaanza kuyumba huku inarudi nyuma nilitupwa kule nikaanguka mizigo ikanilalia nilikuja kutolewa baada ya masaa mawili nilikuja kutolewa nasikia kwa mballii amekufa huyo lakini nilizinduka kwa maumivu makali sana ya kifua..
Uso kwa uso na komando dogo k nine bus likatekwa tunaona hao tunasubiliwa dereva akapaki gari sitasahau vihere here waliosimamisha vichwa vyao wote walifumuliwa vichwa siwezi kusahau mpka leo nikiona damu nazimia.
Sikupenda kuelezea kiundani sanaPole aise, matukio hatari yote.
Ila hizo x zimekuwa nyingi.
Pole.Mimi nilinusurika kogongwa na zile daladala ndogo( hiace, vipanya).
Maeneo ya pale kibamba CCM.
Nilikuwa nataka kukata tiketi ili nipande mwendokasi iliyokuwa imesimama kituoni (barabara ndogo)
Mara nikaona barabara kuu (Moro road) kuna daladala zinazopita kimara.
Basi nikatoka nakimbia bila kuangalia nyuma ya mwendokasi .
Ile napita mbele ya mwendokasi, natoa kichwa hivi kuna kidaladala kikapita speed sana.
Kama ningewahi 1sec ilikuwa inanigonga.
Bado sijasahau ili tukio.
Daaah umenikumbsha pia 2017, nlinusurika kugongwa na Gari dogo privent, maeneo ya Posta-Dar sasa Ile njia Ina one way kwenda umeenda kurudi umerudi,Mimi nilinusurika kogongwa na zile daladala ndogo( hiace, vipanya).
Maeneo ya pale kibamba CCM.
Nilikuwa nataka kukata tiketi ili nipande mwendokasi iliyokuwa imesimama kituoni (barabara ndogo)
Mara nikaona barabara kuu (Moro road) kuna daladala zinazopita kimara.
Basi nikatoka nakimbia bila kuangalia nyuma ya mwendokasi .
Ile napita mbele ya mwendokasi, natoa kichwa hivi kuna kidaladala kikapita speed sana.
Kama ningewahi 1sec ilikuwa inanigonga.
Bado sijasahau ili tukio.
Ki-Askarikisichokuua kitakukomaza
Hahaaa, lete kisa mkuu.Fumanizi la mwanafunzi noma sana sitasahau
Dah kuna mate wangu alitangulia kwenye hiyo ajali.Nilinusurika Mv spice...
Pole sana mkuuDah kuna mate wangu alitangulia kwenye hiyo ajali.
🙏 MkuuAiseee pole sana madam.
Mungu ni mwema sana
Kumbe muoga eeeeh...Daah jana tu gari tairi ya mbele imepeta pancha baada ya kukanyaga jiwe la ncha lilikuwa barabarani sijui nani aliwekaaaa...11 yani aiseee niliyumbaa balaa