Ni tukio gani la kunusurika usiloweza kusahau?

Nil
Nikifikia hatua Hadi ya kugoole hatua za kufaa yaani zote nilikuwa nazo afu pale mwsho wanahitisha kwmba ukiwa na hzi dalili piga emergency number Iko pale daaah😂😂, Kuna dawa nyuma niandkiwa niifate Mwanza mjini kwnye gari konda alinipa siti na kati Kuna watu wengi walikuwa mamesmama. Na ilikuwa mara kwnza kumtjia jina langu ila baada ya dakika kum na Tano aliniita falan njoo ukae hapa, baada ya kupna nlimuuliza hvi kw nn ulipa sit sku zle ajlijb kwmba kaka. Ile sku nlikuona uko na Hali mbaya sna na skujua kama utafika mjini, na kwel nlvokuw nmekaa nlkuwa Nawaza nkifia humu nitatambukije. Mm nafia safrn Mimi daaah n hatr hii Dunia Ina mengi sana
 
...mm nilinusurika ilikua nyoka koboko yule kama ana rangi kahawia na mdomo wake mweusii tii...

Ilikua mida ya jioni natoka zangu kisimani sasa tulikua tunafanya kilimo cha umwagiliaji mm na washkaji zangu2 apo nmetoka shamba nmepgka vbaya mnoo
ilikua zamu yng kufata maji ya kupkia kisimani sasa ukiwa unarudi kuna road ndefu afu km unapanda kilima iv basi mzee mwenzangu nimebeba ndoo mbili Natembea kwa mazoea na kigiza kile chini hata huoni vzur maana labda uwe msim wa mbalamwez mnaona..

basi nmeenda wee kumbe kuna bonge la joka limekata upande wa barabara mm sijaliona alaf niko nalo usawa ule ule nnaotembea.. hamaadii mguu uko juu ya nyoka mamaa wè nilipgwa na ubaridi mmoja nkaganda pale pale kwa jins yule nyoka alivofoka alaf mdogo mdogo anaingia porini asee mungu na wanadamu! kwa shoo za koboko shughuli ilikua inaisha pale pale
Mpk nafika geto siamini nawahadithia washkaji hawakuamini maana koboko alivo ukimsogelea ni lazma akushkishe adabu.. sasa mpk leo sielew ndo tuseme kama bado mda wa kufa kivyovyte unapona yaani niikumbuka hii scenario naamini mungu yupo..maana mm skukimbia nilijikuta nmeganda nguvu sina afu wabariidii nyoka ndo alisepa mdogo mdogo namuona anaingia porini alafu ni deadliest snake..daah asante muumba maana kipind kile nilikua sina hata mtoto ningekufa hata chata sijaacha mjuba 😎..
 
Pole sana mkuu.
Una bahati sana kwa kweli.
 
Afya ndio uhai. Ukiwa na afya , utatafuta pesa. Ukiwa hoi kitandani huwezi tafuta pesa.
Kweli, Cha kumshukuru Mungu Kwa kipndi hcho skulala kitandni kwmba kama mgonjwa nlikuwa tambea yaan kama mzima. Lakn njian napepesuka, usku ndo ukienda kulala unahisi. Hatua zote za kufa unajwaziw watu wanakuga sana usku kwl leo nitaamuka. 😂😂😂
 
Nilinusurika hapa 👇👇

 
Aiseee
 
Kisa changu ni cha aibu.
Sitakiweka hapa, ila jueni tu...nilinusurika kifo, nilikiona kifo kikiwa inch 1 toka machoni pangu.
Nashukuru Mungu, nilinusurika japo niliokuwa nao walipoteza maisha wote 3.
Mungu akiamua kukuepushia na kifo, basi huna budi kumshukuru.
 
1.Kulikuwa na giza means hukumuona mara ukamuona na kumtambua mpaka mdomo wake mweusi tii mdomoni wakati hata hukugatwa na uref wa mlipokuwa wewe na yeye kwa juu mpka chini alipo yeye ni futi 3+.

2.mlikuwa mnatembea usawa mmoja ghafla ukamkanyaga?

Si kila thread tuchangie kwani uongo unakuahushia cv humu jf kwa baadae
 
Hilo hapo
 
Mimi nilinusurika kogongwa na zile daladala ndogo( hiace, vipanya).

Maeneo ya pale kibamba CCM.

Nilikuwa nataka kukata tiketi ili nipande mwendokasi iliyokuwa imesimama kituoni (barabara ndogo)
Mara nikaona barabara kuu (Moro road) kuna daladala zinazopita kimara.

Basi nikatoka nakimbia bila kuangalia nyuma ya mwendokasi .

Ile napita mbele ya mwendokasi, natoa kichwa hivi kuna kidaladala kikapita speed sana.

Kama ningewahi 1sec ilikuwa inanigonga.

Bado sijasahau ili tukio.
 
Aiseee pole sana madam.
Mungu ni mwema sana
 
Pole sana mkuu.
Kuna risk sana barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…