Ni tukio gani la kusikitisha lililowahi kukuta ukiwa night club hadi leo hujasahau

Inamaana mademu wa humu hawajawahi kukumbwa na mkasa wowote? Au ndo wanaifuatilia thread kimya kimya huku wakijifuatilia wanavyoelezewa kwenye comments
Mbona nimeona comment ya mtoto mzuri mwenzangu kan'tangaze tupo buana
 
Hakuna aliewahi kukutana na Jini club humu?
 
ha ha ha
 
Miaka hio Bado naenda club nikawa nimeenda Swizz pub kwa wale wa Tabata wanakumbuka ndio ilikua kipande maarufu Tabata na viunga vyake.
So enzi hizo I'm good kwenye kudance any kind of song Mzee.
One day kuna ile unakuta mjamaa sio club goer ila inabidi aje tuu club coz manze wake anakuja.
Basi Mzee hio njemba imekuja na demu wake kisu kweli kweli ila njemba ya hovyo hovyo tumbo ka fuko la taka Mzee yuko tungi plus kucheza ndio hawezi bora awe hajui. Demu anaonekana ana hamu ya kudance kweli kweli basi anakuja dance floor kwa kuibia ibia.
Ikafika stage DJ kaanza reggae raga na raga muffin mixer dancehall basi akawa kanifikisha. Tia style kibao pale mixer kalipso ya Uganda, kutaharuki binti kafutiwa na style zangu kaja tukaanza cheza. Ile namna wameimba navykenzo kamata chini kamatia chini tunaenda tuu.
Njemba wivu ukapanda tukasikia tuu chupa imefurumushwa bahati nzuri haikutupata ikavunjikia pembeni, kutahamaki Jamaa anataka anakwide nikampa push kaangukia pembeni. Akataka alianzishe Bahati nzuri Swizz kiwanja cha home kila mtu ananipata basi Jamaa akatulizwa.
Hapo manzi keshakimbia kenda kaa kwenye sofa.
Hili tukio huwa silisahau nikiwaza ile chupa ingenipata ingekuaje. au ningekua kiwanja ambacho si mitaa ya home ingekuaje?
 
Hmm hii Kama kahawa hii mkuu[emoji23]
 
mm nilimuapriach mtoto mkali anaonekana wa chuo akanipandisha akanishusha nikasema moyoni poa tu..nikaebdelea na hamsini zangu huwa sina zile swaga lkn cash huwa ya kutosha mfukoni...mpk mwisho tunaondoka napiga supu nje ya club 77 mara demu yuleyule akaja anatia huruma kakosa wa kuchuna, anaomba nimnunulie supu na mm nikampandisha nikamshusha....nikamwambia usimdharau mtu humjui nikamaliza supu nikasepa kivyangu...
 
Nakukumbuka mwaka 2003 may 18 nadhani pale triple A na jamaa zangu watatu,Robert Anthony banqueting manager pale Ramada hotel dar,Reginald James pale Ako group ltd kama restaurant supervisor,tulianza ghetto kwa reggy kunywa mzinga Gordon's watu 3 huku shemeg zenu wakinywa wine,ghetto likikuwa kule juu manguruweni,baadaye SAA moja moja tukaenda tripple A,Kwa vile ilikuwa bado mapema tukakaa pale nje club house,valuer na redbull tukazigida,madem wine kama kawaida,nilikuwa na laki 420 za kufuja lakini kila nikiomba bill jamaa wameisha clear, tukala wakati huo tunaburudishwa na mziki na jamaa mmoja mlemavu anatoa show,kwa jina RED SCORPION,ukafika usiku mkubwa tukasambaratika bila kuagana,me niliingia ndani ya floor kule taa zikanizidishia ulevi,kushuka kwenye stage nikawa natambaa,dem wangu lighnese akaniambia kakae pale kwenye sofa akawa ndio kaharibu nikatapika,BA's bouncer akaja kunibeba juu juu nikatupwa nje,tukaenda zetu kulala makao mapya guest naikumbuka kwa kuiona sio jina,kwa Mara ya kwanza nikamtafuna lighty,tulikuwa tuna 8 months kwenye relationship bila kumgegeda,kipindi kile nilikuwa mvumilivu sana,sana hivi naskia ameolewa na ni HIV+,duh!
 
mkatiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…