Ni tukio gani la kusikitisha lililowahi kukuta ukiwa night club hadi leo hujasahau

Ni tukio gani la kusikitisha lililowahi kukuta ukiwa night club hadi leo hujasahau

Inamaana mademu wa humu hawajawahi kukumbwa na mkasa wowote? Au ndo wanaifuatilia thread kimya kimya huku wakijifuatilia wanavyoelezewa kwenye comments
Mbona nimeona comment ya mtoto mzuri mwenzangu kan'tangaze tupo buana
 
Hakuna aliewahi kukutana na Jini club humu?
 
Aiseee kuna siku Niko na mwanangu, tukazama bills, ile kutia mguu tu ndani nkakutana na mwanangu wa kitambo sana y

Ile oya oya mingi ,jamaa akanitonya kana na mzigo wa mirungi kama kilo5 hivi dadadeki ,mixer vitu vigumu kadhaaaa,

Tukazama smoking room mida ya sa8, kula sana vitu hadi tukazima, kuja kushtuka sa10 inaelekea sa11 .

Mwana nliekuja naye hata sijui yuko wapi, basi nkajisogeza hadi stand ya dala dala .

Nlivyokaaa nkakaaa ,daladala imetoka posta hadi mabibo ikashusha Mimi nimo tu ikageuza Tena posta Mimi nimo tu, ikarud Tena mabibo aiseee hapo sielewi kitu badae konda akanifata akaniuliza wewe unaenda wapi mbona hushuki ,dah nkikumbuka nacheka sana
ha ha ha
 
Miaka hio Bado naenda club nikawa nimeenda Swizz pub kwa wale wa Tabata wanakumbuka ndio ilikua kipande maarufu Tabata na viunga vyake.
So enzi hizo I'm good kwenye kudance any kind of song Mzee.
One day kuna ile unakuta mjamaa sio club goer ila inabidi aje tuu club coz manze wake anakuja.
Basi Mzee hio njemba imekuja na demu wake kisu kweli kweli ila njemba ya hovyo hovyo tumbo ka fuko la taka Mzee yuko tungi plus kucheza ndio hawezi bora awe hajui. Demu anaonekana ana hamu ya kudance kweli kweli basi anakuja dance floor kwa kuibia ibia.
Ikafika stage DJ kaanza reggae raga na raga muffin mixer dancehall basi akawa kanifikisha. Tia style kibao pale mixer kalipso ya Uganda, kutaharuki binti kafutiwa na style zangu kaja tukaanza cheza. Ile namna wameimba navykenzo kamata chini kamatia chini tunaenda tuu.
Njemba wivu ukapanda tukasikia tuu chupa imefurumushwa bahati nzuri haikutupata ikavunjikia pembeni, kutahamaki Jamaa anataka anakwide nikampa push kaangukia pembeni. Akataka alianzishe Bahati nzuri Swizz kiwanja cha home kila mtu ananipata basi Jamaa akatulizwa.
Hapo manzi keshakimbia kenda kaa kwenye sofa.
Hili tukio huwa silisahau nikiwaza ile chupa ingenipata ingekuaje. au ningekua kiwanja ambacho si mitaa ya home ingekuaje?
 
Wakati nasoma , Siku hiyo tumekusanyana kikundi chetu kama wa 4 ivi tunaenda Maisha..kiukweli mimi sikuwa mzoefu na tungi a.k.a ulabu ila wenzangu walikua ni wazoefu sana tuu maaana walikua wanakunywa ndo waningia class..Sasa tumeingia na mimi kujifananay oya oya tukaanza kuzishusha bhana..vitu kupanda kichwani nikaanza kujiona mbabe kila demu nataka nimbambie nikakutana na demu flan hiv anacheza pekeyake tuu kumsogelea sogelea ile kumletea kisura cha mapenzi kumbe pembeni alikua baunsa mmoja ndo bwana aake ..jamaa akanifata kiustaarabu tu kunitoa nikajifanya namletea mbovu ..yule jamaa alinipa Box moja nikaenda kuangukia pembeni na makochi nimechanika tayari shingoni nikamtapikia mdada mmoja ivi kwenye kochi hapo sijui washkaji wakwapi Yule dada nilihisi ni malaika ..akaninyanyua hadi akanipeleka washroom akanisafisah fresh yan akanunua maji halaf akani toa hadi nje kupata upepo nikawa nimemlalia mapajani ..Hadi kunakaribia kukucha akachukua bajaji hadi gheto kwake kumbe alikua ni mwanafunzi wa IFM....itaendelea
Hmm hii Kama kahawa hii mkuu[emoji23]
 
mm nilimuapriach mtoto mkali anaonekana wa chuo akanipandisha akanishusha nikasema moyoni poa tu..nikaebdelea na hamsini zangu huwa sina zile swaga lkn cash huwa ya kutosha mfukoni...mpk mwisho tunaondoka napiga supu nje ya club 77 mara demu yuleyule akaja anatia huruma kakosa wa kuchuna, anaomba nimnunulie supu na mm nikampandisha nikamshusha....nikamwambia usimdharau mtu humjui nikamaliza supu nikasepa kivyangu...
 
Nakukumbuka mwaka 2003 may 18 nadhani pale triple A na jamaa zangu watatu,Robert Anthony banqueting manager pale Ramada hotel dar,Reginald James pale Ako group ltd kama restaurant supervisor,tulianza ghetto kwa reggy kunywa mzinga Gordon's watu 3 huku shemeg zenu wakinywa wine,ghetto likikuwa kule juu manguruweni,baadaye SAA moja moja tukaenda tripple A,Kwa vile ilikuwa bado mapema tukakaa pale nje club house,valuer na redbull tukazigida,madem wine kama kawaida,nilikuwa na laki 420 za kufuja lakini kila nikiomba bill jamaa wameisha clear, tukala wakati huo tunaburudishwa na mziki na jamaa mmoja mlemavu anatoa show,kwa jina RED SCORPION,ukafika usiku mkubwa tukasambaratika bila kuagana,me niliingia ndani ya floor kule taa zikanizidishia ulevi,kushuka kwenye stage nikawa natambaa,dem wangu lighnese akaniambia kakae pale kwenye sofa akawa ndio kaharibu nikatapika,BA's bouncer akaja kunibeba juu juu nikatupwa nje,tukaenda zetu kulala makao mapya guest naikumbuka kwa kuiona sio jina,kwa Mara ya kwanza nikamtafuna lighty,tulikuwa tuna 8 months kwenye relationship bila kumgegeda,kipindi kile nilikuwa mvumilivu sana,sana hivi naskia ameolewa na ni HIV+,duh!
 
Wakati nasoma , Siku hiyo tumekusanyana kikundi chetu kama wa 4 ivi tunaenda Maisha..kiukweli mimi sikuwa mzoefu na tungi a.k.a ulabu ila wenzangu walikua ni wazoefu sana tuu maaana walikua wanakunywa ndo waningia class..Sasa tumeingia na mimi kujifananay oya oya tukaanza kuzishusha bhana..vitu kupanda kichwani nikaanza kujiona mbabe kila demu nataka nimbambie nikakutana na demu flan hiv anacheza pekeyake tuu kumsogelea sogelea ile kumletea kisura cha mapenzi kumbe pembeni alikua baunsa mmoja ndo bwana aake ..jamaa akanifata kiustaarabu tu kunitoa nikajifanya namletea mbovu ..yule jamaa alinipa Box moja nikaenda kuangukia pembeni na makochi nimechanika tayari shingoni nikamtapikia mdada mmoja ivi kwenye kochi hapo sijui washkaji wakwapi Yule dada nilihisi ni malaika ..akaninyanyua hadi akanipeleka washroom akanisafisah fresh yan akanunua maji halaf akani toa hadi nje kupata upepo nikawa nimemlalia mapajani ..Hadi kunakaribia kukucha akachukua bajaji hadi gheto kwake kumbe alikua ni mwanafunzi wa IFM....itaendelea
mkatiana
 
Back
Top Bottom