Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Hata mi naisubiria hiyo episode 2Nasubir
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi naisubiria hiyo episode 2Nasubir
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aina haja ya kusubiri mkuu nenda kalale ni mimi huyo mdada
Ni hivi tulikuwa tunasoma chuo kimoja so nikamsaidia kama mwanafunzi mwenzangu nikamkodishia bajaj nikamrudisha hostel kwao nami nikaenda zangu kulala kesho akanishukulu kwa msaada niliompa ni hivyo tu hakuna jingne
Haya nenda kalale nakuona unasinzia hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] ili akuokote ?!Dah kumbe una roho ya ukarimu hvyo
Kwahyi siku hiz umeacha kwenda club ili nijiangushe hata kwa bahat mbaya
walikufanya nini mkuu?Kipindi flani nipo ngudu, kuna bar moja inaitwa magreth ndo ilikuwa inafunguliwa.
baada ya kula na wenzangu viroba mimi vikanishindwa nikaweka senator. zilivyoissha hapo tukahamia safari club.
sasa kule ikawa mwendo ni kunywa tuu mpaka zikanishinda. nikaaga naenda choooni ili niwatoroke majamaa zangu nafika mlangoni hamadi wakaniambia huendi mahali turudi ndani. niliendelea kunywa mpaka nikawa hoi.
kurudi home nafika mtaa mmoja hivi nakutana na mmama mmoja hivi shemeji yangu. nikawaambia siwezi tembea. wakaniingiza gheto lao wale wamama wako kama wa nne hivi.
sasa nilichokumbuka wakaanza kunipaka rangi za kucha, mwingine ananipaka wanja, mwingine lipstic, mwingine ananitinda nyusi, mwingine ananivua jeans sijui walinibaka.
sasa asubuhi imefika bado tungi lipo kichwani nikaenda chooni kikaanguka uko, wakaja nitoa wakanifuta nguo. wakaona sijiwezi wakaniletea supu.
ile naenda nyumbani bado tungi lipo kichwani barabara nzima wananicheka na kunipiga picha. nafika nyumbani ndo naelewa walichonifanya.
memory never die.Miye naumia tu hasa nikiona vijana wenzangu ambao tulikuwa nao na tulianza nao ujana pamoja Leo hii unawakuta wamechoka wakati enzi zile mnakula bure mnalala bure kipindi mnasoma shule ya msingi darasa la saba saba hivi ndio mnakuwa kuwa sasa hapo nadhani mnajua kwakuwa wadogo nyumbani wanabana basi wenzenu club tulianzia disco toto
Kila juma pili lazima upitie jamaa zako hao disco toto kuanzia saa kumi jioni hiyo acha tu enzi bolingo inatamba enzi small jobiso anatusumbua watoto wenzake, Maana kila mtoto alitaka acheze kama small jobiso ingawa small tulimzidi umri kidogo
Yani nakumbuka matukio kati kati ya burudani dj anazima mziki inatagaza show mtoto atakaye shinda basi atapewa zawadi mnakumbuka ghato ule wimbo azalaki The hawa ebwana basi siunajua zile style ilikuwa ndio balaa, au kanda bongo man kitu in the morning hatari , ikifika mda Wa kuvunja sasa sikuhizi mnasema kushake ebwana zikipigwa ngoma za wako jako michael jackson balaa hapo uniambii kitu yale mafank kamon kamon aooo ooooh aoooh du hapo nimekumbuka disco toto yani wewe kama umepita uku alafu bado ujaoa au kuolewa unaitaji maombi
Nakumbuka ilikuwa ikifika saa kumi Na mbili jioni disco toto mwisho nyumbani ukifika nyumbani sasa unaanza kucheza style ulizoiga club haa haa hatarii
Haya sasa tuje club za ukubwani upo sekondari hapo, chuo sasa uwi yelewii hakuna nachokumbuka zaidi ya kupoteza PESA zangu tu maana foolish age ndio imekolea mda huu
Yani sasa inabidi tuachie vijana haya mambo maana ukitizama hakuna tulichopata tangu utoto mpaka leo hii starehe haijanipa faida yoyote
Maana nakumbuka loyal pamoz mbeya, delux mwanza, copa cabana Mwanza, Triple A arusha, mungano mess, mwanaisungu, Tabora, bills dar hizo sehemu sujui kama bado zipo Leo hii
Maana leo arusha kuna club D,, mwanza kuna rock bottom, fussion juzi kati nimeenda mwanza hiyo fussion nikaona jina jipya, haya mbeya nilienda nikakuta maisha club yani kumekuwa Na club kibao ukienda dodoma sasa napo balaa Haya ukija dar ndio balaa club kila kona sasa jamani tola mda huo mpaka leo si pumzike tu
Tukio nalokumbuka siku moja nimerudi likizo kutoka shule nipo nyumbani akatokea msichana ambaye nilisoma naye shule ya msingi kapendeza basi tukapiga story nini akaomba jioni tutoke twende mziki maana mziki ilikuwa sehemu Ya maisha yetu tangu udogo kweli ile jioni hao club kufika kule nikakutana Na jamaa yangu tu wa mtaani akamtolea macho yule class mate wangu nikamwambia kama anamuitaji asimamie show ya vinywaji dem akilewa pouwa basi bwana jamaa akasimamia show ilipofika mida ya kuondoka nikamwambia jamaa ongea name sasa jifanye miye sijui kitu kinachoendelea kweli wakaongea wakayajenga so wakapotea ikawa kama wamenikimbia kwakua nilikuwa najua nikarudi nyumbani peke yangu kesho yake asubuhi nilikuwa narudi shule basi nikarudi shule, kipindi cha likizo narudi tena nakuta jamaa na yule dada wanaishi wote kama mme na mume yani navyo andika hivi sasa wana watoto wawili
Kiukweli matukio yote hayo nawaza pesa nilizopoteza nashukuru sasa nimeokoka naenda club ya yesu.
Kuna dem mmoja aliniomba nimpeleke club yeye na rafiki yake kwa kuwa tangu waje hapa Dar hawajawahi kwenda... Basi huyoo nikaweka wese kwenye kigari changu mpaka Maisha. Kufika kule mtoto akawa hataki kucheza na mi huku rafiki yake sina mzuka naye. Hasira zilizonishika nilitaka niwatelekeze pale club warudi kwao Makongo juu kwa mguu... Baadaye huruma ikaniingia ikabidi tu niwe mpole. Mpaka nawarudisha mida ya saa nane usiku, nilikuwa nahesabu hasara kama ya elfu sitini niliyounguza toka kwenye mshahara wangu wa laki nne na nusu... that was way back in 2010!