Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Aameen
Amina, ni kweli mkuuMkuu yote mapenzi ya Mungu tu!!! Ninachoamini ni kwamba upendo wa Mungu hauna kikomo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Choo cha shimo! Nikiwa mdogo like 6 yrs nikaletewa nguo mpya shati na kaptura yake nikaivaa siku hiyo hiyo, baada ya muda nikabanwa na haja kubwa nikaenda msalani nikafanya yangu baada ya kumaliza nikawa naiangalia kaptura yangu mpya!!! Hamadi ikaniponyoka ikadumbukia chooni haaa nihaha nikatafuta mti n utoto wangu najaribu kuitoa kumbe ndo nazidi kuisokomeza nikabaki nalia tu
Kwenda kwa babu kutoa taarifa wee nilichezea bakora sitasahau. Ajabu kile choo baada ya muda kikabomoka eti nikaenda kuitafuta kwenye yale mabaki[emoji851][emoji851]
Daah pole sanaaaa!! Hope by now you have recovered wellMimi nakumbuka nilivyoangukia kidevu meno ya juu yakaning'ata yakang'ang'ania mdomo wa chini duuh, niliugulia karibu mwezi mzima watoto wenzangu walikua waninitania coz nilikua siwezi kufunga mdomo Kwa muda huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes now I'm okey, ni mda kiasi I was in std 4, ila nimebakiwa na kikovu tu Kwa mbali ndani ya mdomo.ila mtu huwezi kugunduaa
duuu ilo nalo ni tukio mkuuaisee tukio ambalo cwezi kulisahau nilile nililokojoa mkojo kwenye kopo na kunywa baada ya kubanwa na kiu kikali alafu nyumba imefungwa mlango balaa yaani...
vp wewe ni tukio gani ambalo huwez lisahau???
Fs..!!Yes now I'm okey, ni mda kiasi I was in std 4, ila nimebakiwa na kikovu tu Kwa mbali ndani ya mdomo.ila mtu huwezi kugunduaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Without you am never being fine
Haaaaa mkuu si sana!! Mi ni mpole na mkimya lakin haya matukio yalikuwa yanatokea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu zitajeNilivunjika mkono wakat nadandi gari ya mchanga ile isuzu mpk leo naikumbuka namba