Ni tukio gani la udogoni ambalo huwezi kulisahau?

We pumbafuuuuu kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuu!!! Huyo binti bado yupo????
 
Alikuwa kawazidi umri???
 
Mmmmh!!!! Sumbawanga nini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hebu mtafute umgegede huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee mi yapo mengi ya kitoto ila haya kidogo nikiwa mepata akili akili

Nikiwa kama drs la pili hivi nilikuwa nikijitazama kwenye kioo na najiuliza maswali kibao bila majibu mfano mimi ni nani? Kwann naitwa jina hili X? Mbona huku ndani yangu naongea na sauti haitoki? ( hapo najijaribisha kuongea kimoyo moyo hlf naishia kujishangaa mbona sauti haitoki) Watu wakifa wanaenda wapi? (siku hizo kulikuwa na imani kwamba kuna watu wanaweza kwenda kuzimu na kukutana na marehemu kwa kweli nilitamani sana ili nijuie).... Na maswali mengine kibao kama hayo ila majibu nilikuja pata ukubwani toka kwenye biblia

Jingine nakumbuka nilikuwa napenda sana ibada na ndoto zangu kwa siku hizo ilikuwa nije kuwa padri sasa nilikuwa na hudhuria zile misa za asbh saa 12 kasoro kila mara kama km 2 hivi toka home hadi kanisani nilikuwa nalala na babu sasa ikatokea siku moja babu kaniamsha nijiandae niende church kumbe siku hiyo mzee kala vyombo saa hajaangalia vzr kaniamsha kama saa 9 hiv,i hapo sina saa wala nn nilitoka nikashuka kwenda church ila usiku hauishi nikazidiwa na hofu nikapita duka flani nikaita ili niombe walau nikae kidogo napo kimya nikaendelea kuna sehemu palikuwaga na mbwa wakali sana ila Mungu akanipitisha salama nikafika church hata milango haijafunguliwa nikakaa muda wa kutosha ndio ikafunguliwa... Huwa nikitafakari naona ile siku Mungu tu ndie alienilnda maana nilikuwa chalii mdogo kama miaka 12 ama 11 hivi na nilikuwa nakatochi kadogo kakiberiti duhh!
 
1;Kipindi hicho disco linachezwa shule ya msingi,Darasani usiku.
Mara paap!nikaamka late night saa Sikumbuki nikajikuta niko mwenyewe nyumba nzima.
Nilikuwa nalalaga na Dada zangu.
Waliniachia taa inawaka..
Taa za chemli imeshushwa utambi mwanga mdoogo.
Nilichofanya nikapandisha utambi,nikaibeba taa huku tumbo waz huyoooo... mpk shuleni peke yangu (robo km).
Walistuka sana walipoambiwa mdogo wenu yupo nje kabeba ta a, anawatafuta.
2;Kunusurika kuzama chooni.
Niko zangu nafanya yang u..si nikamaliza nikasimama!
Nikamwona mende tunduni nikapeleka mguu kumsukumia chini...
Mweeeee mguu ukakosa kubalance...maraa pap kwanzia kifuani kushuka chini Niko nd ani joto kinoma...
Nikaanza kujisave mwenyewe kuja juu..
Hope wepesi ulinisaidia.
Kutoka nje wananiuliza hayo majivu imekuaje ypo kwenye viwiko?
Sikuwambia ukweli mpk leo hawajui nilawahi kunusurika kuzama mavini.
3;Kulala nje kisa kuangalia video kwenye ukumbi wa public enzi hizo.
Movies Kali Kama
No retreat no surrender
American ninja
Cinthia Rock
War Bus
Kama hujaziangalia enzi hixo unaonekana boya kweli.
4;Kusukumwa kisimani.buuuu!...
Daaah nilikunywa vikombe vya kutosha kabla ya kuokolewa na watu wazima
..aiseee Nilitoka jicho Kama nyanya masalo.
Buuuuuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ule upepo ulipokuja skul kwetu ukafunua gauni la mwl wetu sisi tukiwa darasa la 4,alikuwa na bonge la tako,tukashangilia siyo kwa kuona tako ila chupi kubwaa lililofiti lile tako,,,upepo huu basi,stiki zake staki kukumbuka
sa hivi ukirudi ule upepo tutashangaa tako
 
Kiongoz umetumia dawa zako Leo? Duh! GPA ya 32 kazi kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…