Ni tukio/kituko gani ambacho alifanya dada yako wa kazi hapo nyumbani hutosahau?

Ni tukio/kituko gani ambacho alifanya dada yako wa kazi hapo nyumbani hutosahau?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Salute!

Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu

Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi.

Je ,ni kituko gani uliwahi kukutana nacho kutoka kwa dada wa kazi?
 
Kuna housegirl wetu alikuwa anaitwa Erythrocyte aliiba milioni 5 za mama alikuwa kaziweka juu ya kabati.
 
Ndani ya wiki Moja Toka atoke mkoa wao kuja kufanya kazi mkoa wetu alikua ameshasafiri kwa ungo kwenda kusalimia kwao usiku mara tatu... Tulikuja kujua baada ya kukamatwa na kuombewa sana na baba mchungaji siku ya jumuiya nyumbani
 
Back
Top Bottom