Tutarusha mchakato wetu wote mkuu kupitia television na radio mtakazotangaziwa na ni baada ya siku kadhaa mbele baada ya hawa wanaoendelea sasa kumaliza mchakato wao ambao watu wengi wameelekeza macho na masikio yao huko.
Na kumbuka kazi ndo tu inakwenda kuhitimishwa sasa, kwani tulichokuwa tunakisubiri ni hitimisho la CCM na tayari tumeusoma mchezo wao na tumeona strengths & weaknesses zao na sasa ni rahisi sana ku attack.
Inashauriwa kwa sasa na kwa siku hizi mbili tatu kabla ya kuweka wazi mgombea mteule wa UKAWA, kila mpenda mageuzi ahamasishe vijana wa kike na kiume na wazee kwenda kujiandikisha ili kupata vichinjio/ID za kupigia kura!
Mwisho tunao strategists na pundits field wakifanya kazi zao ipasavyo. Hakika uchaguzi wa mwaka huu kila mtu aandae andikio kwa sababu opposition tunakwenda kufungua new chapter na kuandika historia ya kuizika rasmi CCM, kwa sababu siku zote imeandikwa kila chenye mwanzo kina mwisho, na mwaka huu ni mwisho wa CCM!!
Who knows? Yaweza kuwa Tundu Lissu, Prof. Ibrahima Lipumba, Dr W.P.Slaa, Prf. Palamagamba Kabudi au hata Jaji Joseph S. Warioba!!?
What matters, ni kwamba UKAWA itakuja na mgombea jembe kweli kweli na anayekubalika kwa wananchi!
Acha CCM wajifariji kuwa wamempata Pombe Magufuli na kwa maana hiyo "nature" ya kusambaratika kwao imewasamehe. Jibu ni hapana, hapana........the threat of breakdown is still there and now is widely enlarged!