Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuangalia uwezo wa watia nia wa ccm naona nchi ikienda Ukawa kama watamsimamisha Lissu aka messi.
Umejenga hoja japo sina hakika km TL Antipas ni president material kwa sasa. Mimi namwona kama AG. Asante mkuu meningitis
Lisu anafaa kuwa mwanasheria mkuu wa serekali
Ana uadilifu gani?
Na Dr.Slaa je au mmeishamchoka mara hii.Taifa linahitaji kiongozi ambaye atakua tofauti kabisa na Kikwete. Tunahitaji mtu mwenye msimamo asiye chekea maovu, aliye tayari kulipigania taifa zaidi ya kiwango cha kawaida, Lissu anaweza na anatosha.
Tupeni Lissu kama mgombea wa UKAWA ili ajekuwa Rais wa Tanzania.