Mtazama MAMBO
Senior Member
- May 20, 2014
- 159
- 24
Hoja yako imekaa sawa japo kuna sehemu zina mzaa .
Sasa sijui ndio umetumia kuchangamaha thread or vip.
Ila mapendekezo yako bado si sahihi .
Nchi kwa sasa haiitaji kukaa mikononi mwa mtu mwnye janzba nanmwnye miamko.
Tunahitaji busara zaidi kwnye kitu hiki.
tundu lisu ana akili lakin ana jazba sana hafai
Nadharia tu! Hoja za kufikirika. Umeshajihoji kuhusu nguvu za hao unaotaka apambane nao?
Kwani wanahitajika mafia wangapi kum"silence" pale atakapoanza kutia "vizibo" kwenye chupa za kifisadi?
Ama unadharau vijisenti vilivyopo uswisi?
Ukombozi wa nchi hii utapatikana ccm tu! Penda usipende. Endapo tu atakaa kiongozi mwenye ushawishi wa kubadili hali iliyopo, na si minguvu.
tundu lisu ana akili lakin ana jazba sana hafai
Wanajamvi habarini!
Pamoja sana mkuu. mie ni miongoni mwa watu ambao napenda Tundu lisu awe president lkn nawaza kuwa kwakutojua sheria maccm yatamiss sana huyu jamaa bungeni maana hiki ni kichwa.
huyu jamaa amekuwa muongoza ndani na nje ya Bunge. Bila hiki kichwa bunge hakuna kaka.
Lakini watu wote wa Singida tunajua kuwa Tundu Lissu ni mgonjwa wa Kichaa kwa hivyo hatushangai kwa lolote
Tundu lisu ni macchine nyingine. Akiwa rais ni lazima hii nchi ikimbie mchakachaka kimaendeleo. Namtamani sana huyu jamaa awe rais ila sema watz wengi hawaoni mbali
kinambeu kuna maendeleo gani?sehemu gani ya tanzania imeendelea?Tundu Lissu kinara wa kukwamisha maendeleo Jimboni kwake hadi sasa Singida nzima ina vyumba vya kutosha vya madarasa lakini kwa Tundu Lissu ni aibu tupu.
Maabara mbili tu zilizokamilika tena zimejengwa na World Bank lakini zingine hata msingi haujaanza anasubiri serikali zijenge wakati watoto wake wote wapo International School Dar wakipata elimu bora.
Kahamasisha wananchi kufukia visima vya Maji kule Londoni hadi leo maji ni adha kubwa kwa wananchi wake yeye akiendelea kunywa maji ya Kilimanjaro na kuoga maji ya shower ya Ruvu Juu.