Mtazama MAMBO
Senior Member
- May 20, 2014
- 159
- 24
Nadharia tu! Hoja za kufikirika. Umeshajihoji kuhusu nguvu za hao unaotaka apambane nao?
Kwani wanahitajika mafia wangapi kum"silence" pale atakapoanza kutia "vizibo" kwenye chupa za kifisadi?
Ama unadharau vijisenti vilivyopo uswisi?
Ukombozi wa nchi hii utapatikana ccm tu! Penda usipende. Endapo tu atakaa kiongozi mwenye ushawishi wa kubadili hali iliyopo, na si minguvu.