Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
Ni wapi na lini Tundu Lissu alitukana?
Kwa nini hakuchukuliwa hatua?
Tusiwe waoga na tusilete propaganda za kitoto.
Alimtukana baba wa taifa bungeni, toka siku hiyo nimemdharau kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi na lini Tundu Lissu alitukana?
Kwa nini hakuchukuliwa hatua?
Tusiwe waoga na tusilete propaganda za kitoto.
Alimtukana baba wa taifa bungeni, toka siku hiyo nimemdharau kabisa.
Anayo ya mwaka 1996 englandTundu lisu hana masters ana degree tu, pia hawezi wala hana sifa ya kuongoza nchi, amejaa matusi tu kichwani hafai kwa matumizi ya umma
Anayo ya mwaka 1996 england
Unajua kwamba aligombea ubunge 1995 akiwa chuoni anasoma masters? Kama hujui na unyamazeHana mkuu
Unajua kwamba aligombea ubunge 1995 akiwa chuoni anasoma masters? Kama hujui na unyamaze
Lisu atasababisha tukose misaada, hana lugha nzuri kwa wawekezaji.
Sibishani na wewe kaa hivyo hivyoHana mkuu labda iwe ya kupewa kama dr. Mengi
Hivi hatuwezi kupata Rais kama Kagame wa rwanda ?? au tumuombe aje bongo hata mwaka mmoja tu,tu outsource Rais.... maana hii nchi isha fail..ni dhahiri.
viongozi hawana uzalendo
wezi wa mali ya umma wanateteana
rais ndo ivo tena..hata hamu ya kumskiliza hakuna...
hadi panya road wanaweza kusimamisha shughuli za jiji....ha ha ha (polisi,usalama wa taifa na vyombo vya dola vipo)
n.k yani ni shakala baghala ...hakuna uongozi
Nilidhani Tuntemeke ndiye kaibukia kwenye hii thread.Kuna kijana gani ndani ya ccm atakayeweza kusimama na Lissu?
Wapiga kura wengi wa mwaka huu ni vijana nafasi ya mzee iwe kwa UKAWA AU CCM haipo.
View attachment 216680Mwaka huu ni wa Singida.
Lakini kati ya Mwigulu, Nyalandu na Lissu, bingwa anajulikana kuwa ni Lissu. UKAWA wakimsimamisha huyu mtu hata mimi nitapiga kura. Kuna jambo watu hawathubutu kulisema - Dr. Slaa amekwishajaribu vya kutosha. Inafaa apumzike kwa sasa japo tunampenda sana.
Nichukieni wa kunichukia lakini ukweli nshasema.
Nilidhani Tuntemeke ndiye kaibukia kwenye hii thread.
Lisu atasababisha tukose misaada, hana lugha nzuri kwa wawekezaji.