Ni ubatili na ukandamizaji kuwaongezea posho ya Tsh. 130,000 wenye mishahara mikubwa na Tsh. 20,000 wenye mishahara midogo

Uliwahi kuona wapi kwenye maisha wa chini akapata zaidi kuliko wa juu..

Ikiwa hivyo si kila mtu atakuwa juu ,hapo nani atamtuma mwenzie?

Aliyejuu ataendelea kuwa juu ,hii ni kanuni ya nidhamu ya maisha..
 
Mwenyekiti kaishaunga juhudi mkono ndomaana hauwezi kusikia yeye kama kiongozi wa upinzani na genge lake wanaongea upuuzi huu. Sasa chawa bado mnaendeleza siasa za kupinga pinga kila jambo, sijui safari hii nani atawalipeni!


View attachment 2243947
Mtanzania ukimtetea utaumbuka wewe, ukimkamata aliyemlawiti hatakuja kutoa ushahidi, wewe utaonekana mwongo.
 
Mtanzania ukimtetea utaumbuka wewe, ukimkamata aliyemlawiti hatakuja kutoa ushahidi, wewe utaonekana mwongo.
Sasa kama ni hivyo mkuu, watetezi (wapinzani) wapo kwa ajili ya nini? Au kwa ajili ya matumbo yao wao na familia zao?
 
Uwe na shukrani wewe usiwe mtu wa kulalamika bila sababu za msingi. Wema uko wapi sasa kuongeza kidogo au kutoongeza kabisa? Acha wivu na husda havitakufikisha popote.
 
Mpaka leo ulikuwa hujagundua mchezo uliopo?

Awamu hii inawakumbatia zaidi wenye mali wachache katika Nchi na kuwapuuza watu wa kipato cha chini walio wengi zaidi.
Kauli dhaifu hii tena ya kimasikini iliyojaa hasadi.
 
Wajinga/Wavivu hawakosekanagi,
Kama vile unavodhani kujiendeleza kunapoteza muda ndivo wengine wanavodhani ila wachache wanatumia fursa na wanapanda vyeo
Wapo walioniendeleza Ila Wana hata miaka kumi hawajapanda vyeo..usione Kila Alie cheo Cha chini ndio stahili yake ..lengo ni realistic...km mtumishi wa chininhana molali huyo wa juu atapiga makelele wee lakini output itakua ndogo.
Kuna miaka watu walikua wanagoma. Ila Kuna kada wakasema wao hawagomi mishahara inawatosha...baada ya miaka miwili impact ikawa inaonekana .ilichukua miaka mitatu serikali kurekebishwa kurudi ktk Hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…