Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bora angeongeza 120,000 mpk 150,000 inatosha kaibsaImeandikwa: Mwenye nacho ataongezewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora angeongeza 120,000 mpk 150,000 inatosha kaibsaImeandikwa: Mwenye nacho ataongezewa.
Kwa wote wakiwa na degree nani atakuwa dereva, mlinzi, ps n.k?Hii ni motisha kwa watumishi wa chini, wasome na wafanye kazi kwa bidii, ili nao wasogee sogee
Wajinga/Wavivu hawakosekanagi,Kwa wote wakiwa na degree nani atakuwa dereva, mlinzi, ps n.k?
Uliwahi kuona wapi kwenye maisha wa chini akapata zaidi kuliko wa juu..Wasalaam.
katika Serikali ya awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete posho ya kujikimu safarini kima cha chini ilikua elfu 80 na cha juu ilikua 120,000 tofauti ilikua elfu 50.
Katika awamu ya tano chini ya Magufuli yeye hakuongeza wala hakupunguza aliacha kama ilivyo japo alitamani kuzifuta kabisa na kuzipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
Katika awamu ya sita chini ya mama Mamia ameongeza kima cha chini kutoka 80 mpaka 100,000 na kima cha juu kutoka 120,000 mpaka 250,000 tofauti badala ya kupungua imepanda 130,000
Ukichunguza hivyo viwango unaona Serikali ya awamu ya 6 imeamua kufanya ukatili mkubwa kwa Watumishi wa Umma walio wengi na kuwaneemesha wachache wenye mishahara mikubwa, yaani mwenye nacho anaongezewa na asie nacho ananyonywa damu.
Inashangaza mwenye mshahara mdogo anaongezwa 20,000 na yule mwenye mshahara mnono anaongezwa 130,000 huu ni ubatili na ukandamizaji.
Hitimisho
Mtumishi wa Umma au raia anaeshangilia usani na udhalimu huu akapimwe akili.
vp kuhusu aliekua nawakumbatia wenye kipato cha chini, yeye aliwaongezea shilingi ngapi?Mpaka leo ulikuwa hujagundua mchezo uliopo?
Awamu hii inawakumbatia zaidi wenye mali wachache katika Nchi na kuwapuuza watu wa kipato cha chini walio wengi zaidi.
Mtanzania ukimtetea utaumbuka wewe, ukimkamata aliyemlawiti hatakuja kutoa ushahidi, wewe utaonekana mwongo.Mwenyekiti kaishaunga juhudi mkono ndomaana hauwezi kusikia yeye kama kiongozi wa upinzani na genge lake wanaongea upuuzi huu. Sasa chawa bado mnaendeleza siasa za kupinga pinga kila jambo, sijui safari hii nani atawalipeni!
View attachment 2243947
Sasa kama ni hivyo mkuu, watetezi (wapinzani) wapo kwa ajili ya nini? Au kwa ajili ya matumbo yao wao na familia zao?Mtanzania ukimtetea utaumbuka wewe, ukimkamata aliyemlawiti hatakuja kutoa ushahidi, wewe utaonekana mwongo.
Uwe na shukrani wewe usiwe mtu wa kulalamika bila sababu za msingi. Wema uko wapi sasa kuongeza kidogo au kutoongeza kabisa? Acha wivu na husda havitakufikisha popote.Wasalaam.
katika Serikali ya awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete posho ya kujikimu safarini kima cha chini ilikua elfu 80 na cha juu ilikua 120,000 tofauti ilikua elfu 50.
Katika awamu ya tano chini ya Magufuli yeye hakuongeza wala hakupunguza aliacha kama ilivyo japo alitamani kuzifuta kabisa na kuzipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
Katika awamu ya sita chini ya mama Mamia ameongeza kima cha chini kutoka 80 mpaka 100,000 na kima cha juu kutoka 120,000 mpaka 250,000 tofauti badala ya kupungua imepanda 130,000
Ukichunguza hivyo viwango unaona Serikali ya awamu ya 6 imeamua kufanya ukatili mkubwa kwa Watumishi wa Umma walio wengi na kuwaneemesha wachache wenye mishahara mikubwa, yaani mwenye nacho anaongezewa na asie nacho ananyonywa damu.
Inashangaza mwenye mshahara mdogo anaongezwa 20,000 na yule mwenye mshahara mnono anaongezwa 130,000 huu ni ubatili na ukandamizaji.
Hitimisho
Mtumishi wa Umma au raia anaeshangilia usani na udhalimu huu akapimwe akili.
Kauli dhaifu hii tena ya kimasikini iliyojaa hasadi.Mpaka leo ulikuwa hujagundua mchezo uliopo?
Awamu hii inawakumbatia zaidi wenye mali wachache katika Nchi na kuwapuuza watu wa kipato cha chini walio wengi zaidi.
nchi ya ajabu hiiImeandikwa: Mwenye nacho ataongezewa.
aisee utakua mnufaikaUwe na shukrani wewe usiwe mtu wa kulalamika bila sababu za msingi. Wema uko wapi sasa kuongeza kidogo au kutoongeza kabisa? Acha wivu na husda havitakufikisha popote.
uko sahihi mkuuHata hivyo hao wa chini hata hizo safari hawazipati
Wapo walioniendeleza Ila Wana hata miaka kumi hawajapanda vyeo..usione Kila Alie cheo Cha chini ndio stahili yake ..lengo ni realistic...km mtumishi wa chininhana molali huyo wa juu atapiga makelele wee lakini output itakua ndogo.Wajinga/Wavivu hawakosekanagi,
Kama vile unavodhani kujiendeleza kunapoteza muda ndivo wengine wanavodhani ila wachache wanatumia fursa na wanapanda vyeo