Ni ubongo uliojaa funza (mafunye) tu ndiyo unaweza kushupaza shingo kuwa Yanga ni Dhaifu

Yanga ni dhaifu tena sana.
Champions alikutana na Al hilal ya Ibenge yenye washambuliaji butu mwendo ukaisha hapo sikwambii Wydad,Al ahly au Raja ingekuaje.
Wewe mwenye timu stronger ulifika wapi??
Kama hukufika popote Basi wewe ndo dhaifu.
 
Sasa wenzao walishagomea mechi ya final,yeye anaona njia sahihi ni kuandika kwenye social media haisadii kitu VAR inagoma.kufanya Kazi kwenye mechi ya Jana alafu viongozi wako pale mm nadhani ilitakiwa ichukulir hatua kubwa kuliko hii ya kuandika andika.mpira wa kuhuni ndio maana tukienda kwa wanaojua.mpira afrika hatutoboi
 
Tena mbele ya kiongozi mkubwa CAF.

Wapumbavu wale wanarusha mipira mibovu uwanjani .
 
Kombe mmelikosa, acheni kutumia ukuta kujikuna migongoni.
 
Mapenzi na ushabiki ndivyo vinavyofanya watu waidis yanga .....ila ukweli ni kuwa yanga ni timu kuuuuuuuuuuuubwa.......yanga ni dude kuuuuuuuuuuuubwa
 
Makolo inauwauma sana kwa kidogo tulichokipata waoo miaka zaid ya mitano wameambulia patupu
Mlikuwa kombe gani acha kukaza fuvu,sasa mnakutana na timu zinazoshuka daraja afu kombe hampati,wanaume wapo KLABU BINGWA HAO WENGINE NI TIA MAJI TU.
 
Kupewa medali bila kikombe,medali hizo ni sawa na shanga kiunoni.Lengo la Utopolo lilikuwa ni kuingia group stage ya CAF Champions League wakaangukia pua.Huko kushiriki kwenye Shirikisho ni kujifariji tu.Haikufikia lengo hivyo wamefeli.Kushindwa mtihani wa form six urudishwe form four ni kufeli kwa sababu lengo ni kufaulu ushiriki na wakubwa.
Maji kwenye kifuu chungu kaona ni bahari.
 
Malengo ya Simba yalikua ni Yapi??

Na wamefika wapi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…