NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Wewe mwenye timu stronger ulifika wapi??Yanga ni dhaifu tena sana.
Champions alikutana na Al hilal ya Ibenge yenye washambuliaji butu mwendo ukaisha hapo sikwambii Wydad,Al ahly au Raja ingekuaje.
Kama hukufika popote Basi wewe ndo dhaifu.