Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Vipi mlipolala makaburini na mapaka mlikuwa mnafanyaje?Yanga sasa si waloge wawe mabingwa wa Afrika kabisa, mbona wanaishia kufanya vitu vya kitoto tu, anyway ndio tabia za wachawi zilivyo siku zote hawapendi maendeleo ya wengine kwasababu wao wameshazoea kuishi kwenye vibanda vilivyochoka.
Mbona jana alikuwa anakipiga?" Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison amepigwa msumari.
Achana na misumari. Hakuna kitu kinajua kumu humble mtu kama misumari. Majuzi Morrison ambae aliondoka Yanga kwa nyodo za kiwango cha Stigla Goji alinukuliwa na gazeti la Mwanaspoti akiwaelezea Yanga kwa nidhamu ya hali ya juu sana. " Yanga ni timu nzuri sana, na wanafanya vizuri kwenye mechi zao, wamejipanga na wanaonekana wamedhamiria kuubeba ubingwa wa ligi. Mpira sio ugomvi , japo kwa sasa nipo Simba lakini Yanga wapo vizuri sana kusema ukweli" Mwisho wa kunukuu...
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo za hali ya juu sana jambo lililo waudhi wanayanga wengi. Huenda wazee wa kamati ya ufundi wa Yanga wame amua kumsogezea jinni au wanachama kindakindaki wa Yanga wenye ilmu ya uchawi wameamua wao wenyewe wakiwa na akili zao timamu na bila ya kushurutishwa na mtu yoyote, kumrushia Morrison maradhi ya ngiri...
Morrison nenda kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa ukatolewe hilo pepo ulilo tumiwa.
Sisi yangu msituhusishe na maradhi ya huyo Morrison wenu, muunganishe na mshanajr au ramekms wamsadie" Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison amepigwa msumari.
Achana na misumari. Hakuna kitu kinajua kumu humble mtu kama misumari. Majuzi Morrison ambae aliondoka Yanga kwa nyodo za kiwango cha Stigla Goji alinukuliwa na gazeti la Mwanaspoti akiwaelezea Yanga kwa nidhamu ya hali ya juu sana. " Yanga ni timu nzuri sana, na wanafanya vizuri kwenye mechi zao, wamejipanga na wanaonekana wamedhamiria kuubeba ubingwa wa ligi. Mpira sio ugomvi , japo kwa sasa nipo Simba lakini Yanga wapo vizuri sana kusema ukweli" Mwisho wa kunukuu...
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo za hali ya juu sana jambo lililo waudhi wanayanga wengi. Huenda wazee wa kamati ya ufundi wa Yanga wame amua kumsogezea jinni au wanachama kindakindaki wa Yanga wenye ilmu ya uchawi wameamua wao wenyewe wakiwa na akili zao timamu na bila ya kushurutishwa na mtu yoyote, kumrushia Morrison maradhi ya ngiri...
Morrison nenda kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa ukatolewe hilo pepo ulilo tumiwa.
mwamposa na huyo kuhani mussa ni matapeli kama wengine tu, ndio maana kila mmoja anavutia kwake,
leo mmesahau kule kilimanjaro watu walikufa kia mafuta ya mwamposa na wengine kujeruhiwa akawakimbia, akashindwa hata kuwaponya majeruhi kwa hayo mafuta....achilia kuwafufua waliokufa...
mmesahau sababu analindwa na system ndio maana ile kesi ilifunikwa,
mwamposa, kuhani mussa, na manabii wote tz ni matapeli, wajasiriadini, wasakatonge...wanaotumia dini kujinufaisha..
Wanaoeneza habari za uchawi ni Simba, nashindwa kuamini kama wapo serious wanaamini hivyo.Hizo ni porojo tu kama porojo zingine hakuna uchawi wala mavi yake uchawi. Na wala hajatupiwa chochote, utopolo de corona fc wanajifariji tu
Jicho la rohoni
Mshana Jr hebu weka neno moja hapa.