Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

Yanga sasa si waloge wawe mabingwa wa Afrika kabisa, mbona wanaishia kufanya vitu vya kitoto tu, anyway ndio tabia za wachawi zilivyo siku zote hawapendi maendeleo ya wengine kwasababu wao wameshazoea kuishi kwenye vibanda vilivyochoka.
Vipi mlipolala makaburini na mapaka mlikuwa mnafanyaje?
 
Haya wale ambao huwa mnasema hakuna uchawi kwenye soka (au uchawi hauna msaada na athari zozote kwenye soka) mko wapi?

Kuna siku nilichangia uzi fulani nikaelezea jinsi ambavyo kuna timu zimekuwa zinashinda game zao kwa kupitia ushirikiana, kuna watu walinipinga na hata kunitukana. Ila cha ajabu kwenye uzi huu wanakubali kuwa Morrison kapigwa 'misumari', au wanafikiri 'misumari' ni nini kama si uchawi?

Mlionipinga nawaona na IDs zenu jinsi mnavyokubali leo kuwa uchawi kwenye soka upo.
 
" Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison amepigwa msumari.

Achana na misumari. Hakuna kitu kinajua kumu humble mtu kama misumari. Majuzi Morrison ambae aliondoka Yanga kwa nyodo za kiwango cha Stigla Goji alinukuliwa na gazeti la Mwanaspoti akiwaelezea Yanga kwa nidhamu ya hali ya juu sana. " Yanga ni timu nzuri sana, na wanafanya vizuri kwenye mechi zao, wamejipanga na wanaonekana wamedhamiria kuubeba ubingwa wa ligi. Mpira sio ugomvi , japo kwa sasa nipo Simba lakini Yanga wapo vizuri sana kusema ukweli" Mwisho wa kunukuu...

Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo za hali ya juu sana jambo lililo waudhi wanayanga wengi. Huenda wazee wa kamati ya ufundi wa Yanga wame amua kumsogezea jinni au wanachama kindakindaki wa Yanga wenye ilmu ya uchawi wameamua wao wenyewe wakiwa na akili zao timamu na bila ya kushurutishwa na mtu yoyote, kumrushia Morrison maradhi ya ngiri...

Morrison nenda kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa ukatolewe hilo pepo ulilo tumiwa.
Mbona jana alikuwa anakipiga?
 
Sisi yangu msituhusishe na maradhi ya huyo Morrison wenu, muunganishe na mshanajr au ramekms wamsadie
 
mwamposa na huyo kuhani mussa ni matapeli kama wengine tu, ndio maana kila mmoja anavutia kwake,

leo mmesahau kule kilimanjaro watu walikufa kia mafuta ya mwamposa na wengine kujeruhiwa akawakimbia, akashindwa hata kuwaponya majeruhi kwa hayo mafuta....achilia kuwafufua waliokufa...

mmesahau sababu analindwa na system ndio maana ile kesi ilifunikwa,

mwamposa, kuhani mussa, na manabii wote tz ni matapeli, wajasiriadini, wasakatonge...wanaotumia dini kujinufaisha..

taja majina yako kamili na namba zako za simu halafu utamke maneno yako kuhusu hao manabii. Utapigwa na kimbunga kikali kutoka Mwenge Mpakani wewe!!! . Shauri yako mkuu...
 
Hizo ni porojo tu kama porojo zingine hakuna uchawi wala mavi yake uchawi. Na wala hajatupiwa chochote, utopolo de corona fc wanajifariji tu
Wanaoeneza habari za uchawi ni Simba, nashindwa kuamini kama wapo serious wanaamini hivyo.
 
Back
Top Bottom