frankshops
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 212
- 179
Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu.
Kama Job alitumia muda mwingi hivyo kusahihisha makosa yake na kuomba msamaha hata Kama kwa unafiki,walipaswa kumstahi.
Hii inaonyesha hakuna kuheshimiana Kati ya mihimili ya nchi,au Kuna kupaniana na kulipizana visasi miongoni mwenu.
Kana kwamba Kuna watu hawatakiwa ndani ya Chama. Cha ajabu kabisa mawaziri ambao pia ni. Wabunge na ndugai ni bosi wao kule mjengoni walikuwa wanashangilia kwa kejeli,hii inaashilia nini?.Hata Kama kakosea Nchi lazima itambue nafasi ya ndugai kama spika kiongozi wa Mhimili.
Spika lazima aheshimiwe na hoja zake lazima zichukuliwe kwa uzito.na watanzania tunapaswa kubeba hoja za ndugai kwa uzito na kuzifanyia kazi,tujue zim ebeba Siri gani?.