Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

Huyo ndugai alikuwa anatafutiwa tu sababu .....

Hakuna anayempenda aisee ....

Mimi binafsi tukio la lissu lilipandikiza roho ya chuki kwa huyu spika ,na sioni namna ya kumsemehe ,ni alimfanyia ushetani lissu
Sio Lissu tu. Kawafanyia mambo ya hovyo watanzania.
 
Hivi msamaha wa ndugai una maana? Jitu lililopoka kweli halafu linajitetea kwamba clip imechezewa? Ndugai ajiuzulu tu ameshindwa kwenda na mama
 
Back
Top Bottom