R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 5, 2022 #21 Sukumagang said: Ikute mazungumzo yake ya simu yako mikononi mwa Samia. Hivyo inaonekana ule msamaha wa jana ni wakinafki. Click to expand... Mchezo huo walianza wao.
Sukumagang said: Ikute mazungumzo yake ya simu yako mikononi mwa Samia. Hivyo inaonekana ule msamaha wa jana ni wakinafki. Click to expand... Mchezo huo walianza wao.
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,950 Reaction score 5,378 Jan 5, 2022 #22 Tafakari yetu said: Ule haukuwa msamaha bali ilikuwa ni kuweka mambo sawa, Rais Samia anajua ulevi wa madaraka wa baadhi ya watu. Click to expand... Yeye Hana ulevi wa madaraka eehhh? Sent using Jamii Forums mobile app
Tafakari yetu said: Ule haukuwa msamaha bali ilikuwa ni kuweka mambo sawa, Rais Samia anajua ulevi wa madaraka wa baadhi ya watu. Click to expand... Yeye Hana ulevi wa madaraka eehhh? Sent using Jamii Forums mobile app
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 5, 2022 #23 Pain killer said: Huyo ndugai alikuwa anatafutiwa tu sababu ..... Hakuna anayempenda aisee .... Mimi binafsi tukio la lissu lilipandikiza roho ya chuki kwa huyu spika ,na sioni namna ya kumsemehe ,ni alimfanyia ushetani lissu Click to expand... Sio Lissu tu. Kawafanyia mambo ya hovyo watanzania.
Pain killer said: Huyo ndugai alikuwa anatafutiwa tu sababu ..... Hakuna anayempenda aisee .... Mimi binafsi tukio la lissu lilipandikiza roho ya chuki kwa huyu spika ,na sioni namna ya kumsemehe ,ni alimfanyia ushetani lissu Click to expand... Sio Lissu tu. Kawafanyia mambo ya hovyo watanzania.
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 10,482 Reaction score 14,007 Jan 5, 2022 #24 Hivi msamaha wa ndugai una maana? Jitu lililopoka kweli halafu linajitetea kwamba clip imechezewa? Ndugai ajiuzulu tu ameshindwa kwenda na mama
Hivi msamaha wa ndugai una maana? Jitu lililopoka kweli halafu linajitetea kwamba clip imechezewa? Ndugai ajiuzulu tu ameshindwa kwenda na mama